Uchumi

Mashirika 7 yasaini mikataba kinyume cha sheria

MASHIRIKA saba ya umma yamesaini mikataba ya Sh bilioni 45. 71 na Dola milioni 7.75 bila kupekuliwa na Mwanasheria Mkuu…

Soma Zaidi »

CAG abaini hasara mashirika 14

MASHIRIKA 14 ya umma ya kibiashara yamepata hasara katika uendeshaji. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali…

Soma Zaidi »

ATCL yapata hasara Sh Bil. 35

KAMPUNI ya Ndege Tanzania (ATCL), imepata hasara ya Sh bilioni 35. 23 katika mwaka wa fedha 2021/22. Ripoti ya Mdhibiti…

Soma Zaidi »

Deni la serikali lafikia Sh tril.71

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema mpaka kufikia Juni 30, 2022 deni la serikali…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi apongezwa nia kubinafsisha mashirika

WADAU wa sekta binafsi na wachumi wamesema Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ana lengo sahihi kutaka kuyakabidhi mashirika ya…

Soma Zaidi »

Kamati yamaliza utata kilo nne za tanzanite

KAMATI ya wataalamu wa ramani mgodini kutoka Chuo cha Madini Dodoma imetoa ripoti kwamba madini kilo nne yalichimbwa mita 650…

Soma Zaidi »

NALA kuwekeza zaidi ya bil 2/- baada ya kupata ‘baraka’ za BOT

KAMPUNI ya Kitanzania inayotoa huduma ya malipo kwa njia ya kieletroniki, NALA, imepewa leseni na Benki Kuu (BOT) itakayowezesha kufanya…

Soma Zaidi »

Majaliwa akagua ujenzi SGR Mwanza-Isaka

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo 26 Machi 2023 amekagua mradi wa Ujenzi wa reli ya kisasa SGR Mwanza-Isaka, kipande cha…

Soma Zaidi »

Waomba ushuru kuingiza mabasi upunguzwe

WAMILIKI wa mabasi nchini, wameiomba serikali kupunguza ushuru wa kuingiza mabasi ambao umepanda kutoka Sh milioni 40 hadi milioni 90.…

Soma Zaidi »

Wawekezaji mawasiliano kuendelea kuungwa mkono

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema Serikali itaendelea kuunga mkono jitihada zinazofanywa na wawekezaji katika…

Soma Zaidi »
Back to top button