Uchumi

Dart yatumia milioni 3.5/- kukarabati madarasa

SHIRIKA lisilokuwa la kiserikali la Dart limefanya ukarabati wa vyumba vinne vya madarasa na kutoa vifaa vya kujifunza vyenye thamani…

Soma Zaidi »

Ulega awahakikishia wananchi madaraja matatu kujengwa

MBUNGE wa Mkuranga, Abdallah Ulega amewahakikishia wananchi wa Mkuranga kwamba mwaka huu serikali itajenga madaraja matatu yaliyoainishwa kwa ujenzi kwa…

Soma Zaidi »

RC aagiza uzalishaji zaidi mkonge

MKUU wa Mkoa wa Tanga, Omar Mgumba ameagiza Chama cha Wakulima wa Mkonge (SAT) kuja na mpango wa kuendeleza mashamba…

Soma Zaidi »

Mkongo wa 2 Africa Submarine kupaisha uwezo wa tehama

TANZANIA itakuwa kitovu cha maunganisho ya mawasiliano Afrika Mashariki na Kati kutokana na uwepo wa mkongo wa mawasiliano wa 2…

Soma Zaidi »

Mtanzania aliyepania kufuta umaskini kwa kuzalisha mbegu bora za mazao

“NILIKUWA nikiumizwa na habari za mazao yetu kushambuliwa na magonjwa, kama mnyauko lilininyima usingizi, nikiwa katika majukumu yangu ya kazi…

Soma Zaidi »

Kilimo ikolojia mpango mzima kukabili mabadiliko tabianchi

WADAU wa kilimo ikolojia wameishauri jamii kukuza sekta hiyo ili mazingira yaweze kustahimili mabadiliko ya tabianchi ambayo kwa sasa yanaathiri…

Soma Zaidi »

Vitega uchumi vya Dodoma City, Mtumba kuanza kazi Novemba

MKURUGENZI wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Joseph Mafuru amesema vitega uchumi vya Hoteli ya Dodoma City na kile cha…

Soma Zaidi »

Tamko la Tanzania kushusha bei ya mahindi Kenya

BEI ya mahindi iliyopanda kutokana na kuenea kwa uvumi kuwa Tanzania imesitisha utoaji wa vibali vya uingizaji wa mahindi nchini…

Soma Zaidi »

Samia ataka uwekezaji wa sayansi, teknolojia

RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Afrika wakiwekeza zaidi katika sayansi na teknolojia kwa vijana, wanaweza kuwa sehemu muhimu…

Soma Zaidi »

‘Waelimisheni wanawake wajiunge majukwaa  ya uwezeshaji’

SERIKALI imezindua mwongozo wa kitaifa wa uanzishaji na uendeshaji majukwaa ya uwezeshaji wanawake kiuchumi, wenye lengo la kuleta ufanisi wa…

Soma Zaidi »
Back to top button