Featured

Featured posts

Mageuzi yaja sekta ya afya

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali imekuwa ikitekeleza mikakati mbalimbali kuhakikisha huduma bora zinapatikana kwa watoto wachanga na mama wajawazito…

Soma Zaidi »

Bundi azidi kuiandama Arsenal

ITALIA: BEKI wa Italia na klabu ya Arsenal, Riccardo Calafiori alilzimika kutolewa nje kutokana na majeraha katika mchezo wa ‘Nations…

Soma Zaidi »

Mchezo wa vihunzi kuanzishwa nchini

WADAU wa michezo wapatao 50 kutoka mataifa mbalimbali wamefundwa sheria za mchezo wa vihunzi watakazotumia kusimamia na kuanzisha mchezo huo…

Soma Zaidi »

Wawekezaji sekta ya mawasiliano wakaribishwa Tz

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Khamis Abdulla amesema wizara hiyo ipo tayari kushirikiana…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu atoa maelekezo uendeshaji SGR

DODOMA: WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi iendelee kulisimamia kwa karibu Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kuhakikisha…

Soma Zaidi »

‘Twenzetu Kileleni’ kuadhimisha Uhuru Tanganyika

SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limezindua msimu wa nne wa kampeni ya Twenzetu Kileleni huku wakihimiza Watanzania kujitokeza kwa…

Soma Zaidi »

“Tupo tayari kulipa kodi”

WAFANYABIASHARA ndogondogo maarufu Wamachinga mkoani Dar es Salaam wamesema wako tayari kulipa kodi kwa kadiri ya kipato chao ili kuchangia…

Soma Zaidi »

Mwanariadha Cheptegei afariki dunia

MWANARIADHA wa Olimpiki, Rebecca Cheptegei amefariki dunia ikiwa ni siku chache baada ya kumwagiwa petroli na kuchomwa moto na aliyekuwa…

Soma Zaidi »

Waiomba serikali ukarabati wa barabara Serengeti

WADAU wa Utalii katika Hifadhi ya Taifa Serengeti wameiomba Serikali kuwapatia suluhisho la kudumu la ujenzi wa barabara katika Hifadhi…

Soma Zaidi »

Wakamatwa wizi wa pikipiki sita

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa watatu, Rafael Edward, 30, mkazi wa Lyambogo, Juma Ibrahimu,26, mkazi wa Mwale…

Soma Zaidi »
Back to top button