Infographics

Brandy Rayana kuzindua kitabu cha maisha yake

MSANII wa muziki na filamu kutoka Marekani, Brandy Rayana ametangaza kuzindua kitabu chake cha kumbukumbu za maisha yake ambacho kinatarajia…

Soma Zaidi »

BFT kuibua vipaji vya mabondia wanawake

SHIRIKISHO la Ngumi Tanzania (BFT) limesema linatarajia kufanya shindano maalum mwishoni mwa mwezi huu ili kuibua vipaji vya mabondia wanawake…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi aagiza nyumba hifadhi ya barabara zivunjwe

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi ameiagiza Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi kuondoa…

Soma Zaidi »

Samaki waanza kushuka, nyama bado juu Dar

DAR ES SALAAM: BEI za vitoweo katika Mkoa wa Dar es Salaam zimeendelea kuimarika huku nyama ikiendelea kuwa juu ikiuzwa…

Soma Zaidi »

“Tanzania ina nafasi kukuwa kiuchumi 2050”

DAR ES SALAAM: OFISA Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Hanspaul, Satbir Singh Hanspaul amesema kuwa Tanzania ipo katika nafasi nzuri…

Soma Zaidi »

Wanachama CCM wataka katibu Simanjiro ang’oke

WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata za Mirerani na Endiamtu wilayani Simanjiro mkoani Manyara wamesikitishwa na hatua ya katibu…

Soma Zaidi »

Wilaya 108 zafikiwa huduma za mawasiliano

WIZARA ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imesema jumla ya wilaya 108 nchini zimefikiwa na ujenzi wa miundombinu ya Mkongo…

Soma Zaidi »

Wananchi Kiteto waishukuru serikali ujenzi barabara

WANANCHI wa Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara wameishukuru Serikali kwa kuwapelekea mradi wa ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja…

Soma Zaidi »

Mchungaji apongeza Lugumi kuwajenga ghorofa yatima

KITENDO cha mfanyabiashara Said Lugumi kuwajengea nyumba ya ghorofa watoto yatima kimewagusa baadhi ya waumini wa dini mbalimbali nchini, huku…

Soma Zaidi »

Mkumbo ataka stendi ya Katesh ikamilike kwa wakati

MANYARA: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais,Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, ametoa maagizo kwa mkandarasi anayejenga stendi mpya ya…

Soma Zaidi »
Back to top button