Mitindo & Urembo

Jukwaa la ubunifu kuanza Sept 28

JUKWAA la Ubunifu nchini (Tanzania Fashion Festival) Msimu wa 7 unatarajia kufanyika Septemba 28, 2024 katika ukumbi wa Terrace Slipway…

Soma Zaidi »

Jasinta Makwabe: Someni kabla ya kuingia mitindo

MWANAMITINDO Jasinta David Makwambe amewashauri vijana wanaotamani kuingia kwenye sekta ya Mitindo kusoma kwanza ili kutumia elimu watakayopata kufanikisha ndoto…

Soma Zaidi »

Mobeto apokea ubalozi mpya.

DAR-ES-SALAAM: Mwanamitindo Hamisa Mobetto ameendelea kufanya vizuri katika kazi zake na kupata ubalozi wa bidhaa ya Spaghetti huku akisema juhudi…

Soma Zaidi »

Wanamitindo wa kimataifa watengenezwe

DAR-ES-SALAAM: MWANAMITINDO Mstaafu wa kimataifa, Tausi Likokola ameishauri Tanzania itoe wanamitindo wengi bora wanaokidhi vigezo vya kimataifa. Akizungumza na HabariLEO,…

Soma Zaidi »

Malika Designer aisifu serikali inavyomuunga mkono

DAR ES SALAAM: MBUNIFU wa mavazi nchini, Malika Rashid ‘Malika Designer’ amesema katika harakati zake za kusaidia jamii kwa kutoa…

Soma Zaidi »

Malika Designer abuni mavazi kwa viongozi

DAR ES SALAAM: MBUNIFU wa mavazi nchini, Malika Rashid ‘Malika Designer’ amesema amejipanga vilivyo na sasa amebuni mavazi ambayo yanaweza…

Soma Zaidi »

Flaviana: Sina mtoto, sina mwanaume

DAR ES SALAAM; MWANAMITINDO Mtanzania, Faviana Matata, amesema bado hajajaliwa kupata mtoto, lakini pia kwa sasa hayupo katika uhusiano wa…

Soma Zaidi »

Dk Mapana awaita wasanii BASATA

DAR ES SALAAM: Wasanii wa sanaa mbalimbali wametakiwa kujisajili katika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa lengo la kupatiwa…

Soma Zaidi »

Wazazi wa watoto ‘Njiti’ kuvaa mavazi maalumu

DAR ES SALAAM: WABUNIFU wa mavazi nchini wamebuni na kuonyesha mavazi 12 tofauti maalumu yatakayovaliwa na wazazi Mama au Baba…

Soma Zaidi »

Kuna shida watoto Kusuka?

DAR ES SALAAM: Imekuwa ni jambo la kawaida katika jamii zetu kwa sasa, kuona hata watoto wadogo wakiwa katika mitindo mbalimbali…

Soma Zaidi »
Back to top button