Jamii

Dk Tulia Ackson mgeni rasmi siku ya mtoto wa kike duniani

DSM: SPIKA wa Bunge Dk.Tulia Ackson anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kuazimisha siku ya mtoto wa Kike duniani kesho Oktoba…

Soma Zaidi »

Wanaoenda kwa waganga kusaka utajiri waonywa

KIONGOZI wa kimila, jadi, asili na utamaduni kutoka himaya ya Nyarutambwe Manyovu mkoani Kigoma, Dk Fadhil Emil, amewataka vijana kwenda…

Soma Zaidi »

Wadau wa mahakama wahamasishwa mfumo wa kidigitali

KAGERA. Bukoba. Wadau wa mahakama na wananchi kwa ujumla wametakiwa kujifunza na kushiriki katika majaribio ya mfumo mpya wa teknolojia…

Soma Zaidi »

Shirika la Elimu Kibaha, wadau waungana kuwanoa vijana

Shirika la Elimu Kibaha, wadau waungana kuwanoa vijana PWANI, Kibaha Shirika la Elimu Kibaha (KEC) kupitia Chuo cha Maendeleo ya…

Soma Zaidi »

Tanzania yashuka kiwango cha ukeketaji

DAR ES SALAAM: TANZANIA inatajwa kuwa miongoni mwa nchi zilizopiga hatua katika kupunguza ukeketaji kwa asilimia 75. Kwa sasa ipo…

Soma Zaidi »

“Wanawake milioni 200 wamepitia ukeketaji na unyanyasaji”

DAR ES SALAAM: TAKWIMU za Kimataifa zinaonesha kuwa zaidi ya wanawake na watoto wa kike milioni 200 ulimwenguni wamekeketwa pamoja…

Soma Zaidi »

Hekari 807 za bangi zateketezwa

MARA: MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, Jeshi la Kujenga…

Soma Zaidi »

Tanzania mwenyeji mkutano wa kupinga ukeketaji

DAR ES SALAAM: TANZANIA ni mwenyeji wa Mkutano wa pili wa Kimataifa wa Kutokomeza Ukeketaji ulio chini ya Nchi wanachama…

Soma Zaidi »

Wafugaji wakorofi kutengwa

WIZARA ya Mifugo na Uvuvi imesema haitawaunga mkono wafugaji wakorofi na wasiofuata sheria zinazosimamia matumizi bora ya ardhi na watakao…

Soma Zaidi »

Ummy kushiriki kongamano la usalama barabarani

MTWARA: WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu  anatarajiwa kushiriki katika kongamano la usalama barabarani ambalo litafanyika mkoani Mtwara Oktoba 13, mwaka…

Soma Zaidi »
Back to top button