Jamii

Ajali ya Saibaba yaua 7, yajeruhi 22

MTWARA: WATU saba wamefariki dunia na wengine 22 wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea Kijiji cha Kiwawa, Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi.…

Soma Zaidi »

Nenda kawafundishe na wengine!

MWANZA; Magu. Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Inspekta Hosiana Mushi, akitoa elimu ya usalama…

Soma Zaidi »

Wanawake wajasiriamali na njia za kupinga ukatili

DAR ES SALAAM:TAASISI ya Her Initiative inayoendesha  na jukwaa kubwa la panda digital imezindua jukwaa jipya la ongea Hub kwa…

Soma Zaidi »

Mchengerwa atoa siku 27 watumishi wapya kulipwa fedha za kujikimu

DODOMA: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa ametoa siku 27…

Soma Zaidi »

Waja na Dua ya Kuwaombea Viongozi Wakuu wa nchi

DAR ES SALAAM: Taasisi ya Beach menijimenti unit (BMU) ikiongozwa na Mratibu wa Dua Maalumu ya kuombea Taifa na Viongozi…

Soma Zaidi »

Mollel awataka wazazi kupeleka watoto shule

KILIMANJARO: MBUNGE wa Jimbo la Siha, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya Dk Godwin Mollel amempongeza Rais Samia Suluhu…

Soma Zaidi »

Wawili mbaroni utengenezaji noti bandia

SONGWE: JESHI la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia watuhumiwa wawili kwa kosa la kutengeneza na kukukutwa na noti bandia za…

Soma Zaidi »

Sh. Milioni 250 Kutatua shida ya maji Ngara

KAGERA: WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amewahakikishia Wananchi wa kata ya Murusagamba, Wilaya ya Ngara, mkoani Kagera kuwa Serikali imetoa…

Soma Zaidi »

Prof. Nombo: Uongozi bora ndio silaha

DAR ES SALAAM: UONGOZI bora, usimamizi na uendeshaji wa elimu ulio mzuri una mchango mkubwa katika maendeleo ya shule na…

Soma Zaidi »

TANESCO boresheni mfumo wa kutoa huduma-Kapinga

DAR ES SALAAM: Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kuboresha mfumo wa utoaji huduma…

Soma Zaidi »
Back to top button