Jamii

Mbarawa: kufikia 2025 tutakuwa na Ndege 16

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema kuwa kesho Oktoba 03, 2023 Tanzania inatarajia kupokea ndege mpya…

Soma Zaidi »

Rais Samia anataka kuona miradi inakamilika kwa wakati

MBEYA: Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema dhamira ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ni kuona miradi ya ujenzi wa…

Soma Zaidi »

Dk Ndumbaro: Mji wa serikali una uhaba majengo ya sanaa

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo,Dk Damas Ndumbaro amesema Mji wa Serikali Dodoma bado unachangamoto ya uhaba wa majengo ya…

Soma Zaidi »

Sagini azindua mfumo wa kidigitali wa huduma za fedha Jeshi la polisi

DAR ES SALAAM: Jeshi la Polisi nchini leo Septemba 30, 2023 limezindua Mfumo wa kidijitali wa huduma za kifedha uitwao…

Soma Zaidi »

Asilimia 77.3 ya Vijiji Kagera Vyaunganishwa na Umeme wa REA

KAGERA: Vijiji 512 kati ya Vijiji 662 vya Mkoa wa Kagera ambayo ni sawa na asilimia 77.3 ya vijiji vya…

Soma Zaidi »

Watu laki tatu hawakurudi chanjo ya Uviko 19

DAR ES SALAAM: Wananchi 313,269 wa Dar es Salaam hawakurudi kupata chanjo ya pili ya Covid 19 tangu chanjo hizo…

Soma Zaidi »

Wachinja Ng’ombe sita ufunguzi wa Zahanati

SONGWE: Wananchi wa Kijiji Cha Senga Kata ya Kamsamba wilayani Momba Mkoani Songwe wamechinja ng’ombe sita kusherekea kufunguliwa Zahanati inayotegemewa…

Soma Zaidi »

Mabasi sasa ruksa kusafiri saa 24

DSM; SERIKALI ya Tanzania imeruhusu mabasi ya abiria kufanya usafirishaji wa saa 24, baaada ya kujiridhisha kiusalama, mwamko wa wananchi,…

Soma Zaidi »

Dk Biteko ataka kasi usambazaji umeme vijijini

KAGERA: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dotto Biteko amemtaka mkandarasi anayetekeleza mradi wa REA 3 mzunguko wa pili…

Soma Zaidi »

TBA yajipanga kuwafikia wachimbaji wadogo geita

GEITA:WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) wamepanga kujenga nyumba za kupangisha mjini Geita ili kusaidia watumishi wa umma na wananchi wa…

Soma Zaidi »
Back to top button