Jamii

Whozu aitikia wito Basata

DAR ES SALAAM; Msanii wa Bongo fleva nchini Oscar Lello ‘Whozu’, leo ameitikia wito aliokuwa ameitwa na Baraza la Sanaa…

Soma Zaidi »

Chagulaga inavyoongezewa ‘glasi’, jamii inateketea

“SAMAHANI Waiter ongeza glass Eh muhudumu ongeza glass Mmhh Samahani Waiter ongeza glass Eh muhudumu ongeza glass. “Acha nilewe nilewe…

Soma Zaidi »

Sh bilioni 43 kutekeleza mradi wa maji Ziwa Victoria

SERIKALI imetoa Sh bilioni 43 kwa ajili ya mradi wa maji Ziwa Victoria kwenye Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani…

Soma Zaidi »

“Watoto wa kike wapewe nafasi wanaweza”

DAR ES SALAAM: Shirika la Mwanamitindo Flaviana Matata Foundation kwa kushirikiana na Msichana Initiative, Sema na Tai storytelling for Social…

Soma Zaidi »

Samia: Mazao ya korosho, ufuta na mbaazi yanalipa

LINDI,Mtama: Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wakulima wa Wilaya ya Mtama Mkoani Lindi kuzalisha kwa wingi mazao ya korosho, ufuta…

Soma Zaidi »

RC Arusha aagiza kuanza ujenzi shule wasichana

ARUSHA; Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella ameagiza kuanza mara moja kwa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana…

Soma Zaidi »

Wapewa mbinu waweze kukopesheka

WAKULIMA wa mazao Mchanganyiko wilayani Momba, mkoani Songwe wametakiwa kuunda vyama vya Ushirika (AMCOS), ili waweze kukopesheka na kuwa na…

Soma Zaidi »

Katambi aahidi kutimiza ndoto za mwanafunzi

DAR ES SALAAM: Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amejitolea kutimiza ndoto…

Soma Zaidi »

Wanafunzi wa kike wapewa msaada wa taulo

DAR ES SALAAM:Askari wa jeshi la polisi waliotimiza miaka tisa kazini depo ya mwaka 2013/2014 (H3) wametoa msaada wa taulo…

Soma Zaidi »

Mgogoro wa ardhi wa miaka 40 wamalizwa

TANGA:Mkuu wa mkoa wa Tanga Waziri Kindamba amefanikiwa kumaliza Mgogoro wa mpaka uliodumu Kwa miaka 40 kati ya Kijiji cha…

Soma Zaidi »
Back to top button