Jamii

Serikali mbioni kutangaza ajira mpya 47,000

GEITA: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema serikali imepanga…

Soma Zaidi »

KUWASA yatangaza operesheni wezi wa maji

KIGOMA: Mamlaka ya maji safi na maji taka Kigoma Ujiji imetangaza kuendesha operesheni maalum ya kukamata watu wanaojiunganishia maji bila…

Soma Zaidi »

Ujenzi soko la Mabibo waanza, sh milion 600 zatengwa

DAR ES SALAAM:Ujenzi wa Soko la Ndizi la Urafiki lililopo Halmashauri ya Ubungo mkoani Dar es Salaam umeanza rasmi, muda…

Soma Zaidi »

Mbunge agawa mitungi 300 ya Gesi kwa makundi mbalimbali

KAGERA, Bukoba,Mbunge wa Viti maalum kupitia asasi zisizo za  kiserikali  NGO,s Neema Lugangira amezindua Kampeni  ya  “Pika kwa Gesi, tunza…

Soma Zaidi »

Changamoto maeneo ya malisho kumalizwa

TANGA; Handeni. Waziri wa mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema serikali inatafuta suluhu ya kudumu katika kuondoa changamoto ya uvamizi…

Soma Zaidi »

‘Tumieni majukwaa wezeshi kujiinua kiuchumi’

WANAWAKE na vijana wametakiwa kutumia majukwaa wezeshi ya wajasiriamali, ili kujikwamua kiuchumi kwa kutumia fursa zilizopo na kuepuka mikopo ya…

Soma Zaidi »

Wasichana wanatamani kutimiza ndoto zao lakini…!

NOVEMBA 24 mwaka 2021, historia iliandikwa hapa nchini kufuatia uamuzi wa serikali kuruhusu kurejea shuleni wanafunzi waliokatiza masomo kwa sababu…

Soma Zaidi »

Mtwara, Lindi matumaini kibao ziara ya Samia

WAKUU wa mikoa ya Mtwara na Lindi pamoja na wananchi wao, wamesema wana imani ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan…

Soma Zaidi »

TAWA kuimarisha ulinzi wa wananchi dhidi ya wanyamapori

MOROGORO:Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), imesema itaendelea kuimarisha  ulinzi wa wananchi na mali zao dhidi ya wanyamapori wakali…

Soma Zaidi »

Mwanza na mikakati ya uwanja wa ndege wa Kimataifa

MWANZA:Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Amos Makalla amesema Serikali ina Mkakakati wa kuufanya uwanja wa Ndege wa Mwanza kuwa wa…

Soma Zaidi »
Back to top button