Jamii

Mahakama yatupilia mbali kesi ya bandari

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mbeya leo Agosti 10, 2023 imetupilia mbali maombi yote sita ya walalamikaji waliofungua  ya kupinga mkataba…

Soma Zaidi »

Wananchi Mtwara watakiwa kuendeleza urithi wa Nyangumi

WANANCHI mkoani Mtwara wametakiwa kuuendeleza kuona urithi wa Nyangumi uliyopo katika Hifadhi ya Bahari ya Ghuba ikiwa ni sehemu muhimu kwao…

Soma Zaidi »

Teknolojia kusambaza Kiswahili

CHAMA cha Lugha na Fasihi ya Kiswahili Tanzania (CHALUFAKITA) kimetakiwa kutumia teknolojia katika kukuza na kusambaza lugha ya Kiswahili katika…

Soma Zaidi »

‘Ongezeni kasi unenepeshaji ng’ombe kuna soko kubwa’

RAIS Samia Suluhu amewataka vijana wanaoshiriki programu ya Jenga kesho iliyo Bora (BBT),kuongeza kasi ya unenepeshaji wa ng’ombe kutokana na…

Soma Zaidi »

Lindi wapongeza uwepo maji ya uhakika

WAKAZI wa Kata za Nyangao, Mtama, Majengo, Kitomanga, Madangwa wilayani Lindi wameanza kutumia maji yanayotokana na bomba. Katibu wa Kamati…

Soma Zaidi »

Mbegu za asili fiwi, ulezi hatarini kutoweka

MBEGU za asili za fiwi, ulezi , njugu mawe zipo hatarini kutoweka, katika mikoa ya Kanda ya Kusini. Mtafiti kutoka…

Soma Zaidi »

‘Ufugaji utanyanyua ajira kwa vijana, wanawake’

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema ufugaji wa viumbe vya majini na mifugo mingine ndio utakaonyanyua ajira ya vijana na wanawake…

Soma Zaidi »

Mbunge atwishwa kero za hospitalini Mpanda

WAJAWAZITO Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, wameeleza kusikitishwa na namna wanavyodaiwa vifaa vya kujifungulia ikiwemo mipira (gloves) na vitu mbalimbali…

Soma Zaidi »

Mpango mpya NSSF kivutio Nanenane Arusha

 MPANGO mpya ulianzishwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) maalum kwa ajili ya watu kujiunga kutoka sekta…

Soma Zaidi »

Fundi mashine za EFD, wenzake 3 kortini kuisababishia TRA hasara

FUNDI wa mashine za kielektroniki za EFD, Awadhi Mhavile (39) na wenzake watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni…

Soma Zaidi »
Back to top button