Jamii

Kampeni Usingizi wa Starehe kugawa vyandarua Mil.3.7

SERIKALI kwa kushirikiana na Marekani kwa pamoja wamezindua kampeni ya ugawaji wa vyandarua vyenye dawa kwenye kaya ikiwa ni jitihada…

Soma Zaidi »

Amchoma mikono mtoto kisa kadokoa chainizi

JESHI la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia, Maneno Thomas (35) mkazi wa Chamagati, wilayani Sengerema kwa tuhuma za kumchoma mikono mtoto…

Soma Zaidi »

Watumia pombe ya kienyeji kunasa wadudu waharibifu

KITUO cha Utafiti wa Zao la Kahawa (TacRI) mikoa ya nyanda za juu, kilichopo Mbozi mkoani Songwe kimebuni teknlojia mpya…

Soma Zaidi »

Wasaidia yatima, wajane Temeke

TAASISI ya kiislamu ya Muslim Word League, imepokea msaada wa maboksi 510 ya vyakula  kutoka serekali ya Saudia Arabia kwa…

Soma Zaidi »

Watoto wawapeleka polisi wazazi wakipinga kuchapwa

HALI ya usimamizi wa maadili katika kambi za wakimbizi wa Burundi za Nduta wilayani Kibondo na Nyarugusu wilayani Kasulu, ni…

Soma Zaidi »

TARI yaja na mikakati uzalishaji ngano

SERIKALI kupitia Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), imedhamiria kuondoa changamoto ya zao la ngano nchini, inayoipa mzigo mkubwa…

Soma Zaidi »

Uzazi wa mpango unakupa raha, utaepuka karaha

 “UZAO wangu wa kwanza nilihangaika sana maana mume alipoona amenipa mimba, akakimbia. nilihangaika peke yangu na mimba hadi nikajifungua. mwanaume…

Soma Zaidi »

Matunda pori haya  ni muhimu mwilini

“UKILA tunda la ntonga moja ni sawa sawa umekula machungwa sita,” hiyo ni kauli ya Martha Ndelemba kutoka Taasisi ya…

Soma Zaidi »

Adai kuponzwa na mwanamke aliyekutana naye Mlimani City

MSHITAKIWA Bogias Augustine na wenzake wawili wanakabiliwa na mashitaka matatu ikiwemo unyang’anyi kwa kutumia silaha na wizi. Hata hivyo, Augustine…

Soma Zaidi »

Wapongeza ujenzi hospitali Karagwe

WANANCHI wa Wilaya Karagwe mkoani Kagera wameondokana na changamoto ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma za matibabu katika Hospitali ya…

Soma Zaidi »
Back to top button