Jamii

Jengeni mazoea kupima udongo wa kilimo

WAKULIMA wameshauriwa kujenga mazoea ya kupima udongo kabla ya kulima, ili kujua virutubisho vilivyopo kwenye udongo ambavyo vitawasaidia kufanya maamuzi…

Soma Zaidi »

Waanza kulipia maegesho Muhimbili

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imenza rasmi utaratibu wa kulipia maegesho katika hospitali hiyo. Ofisa Habari wa Muhimbili, Aminiel Eligaesha…

Soma Zaidi »

Watakiwa kushiriki mapambano ukatili wa kijinsia

KAMATI  za shule za msingi zimetakiwa kushiriki kikamilifu katika mapambano dhidi ya unyanyasaji na ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi. Wito…

Soma Zaidi »

Uchafu zao la mkonge wageuzwa chakula cha mifugo

MWANAFUNZI  wa Shahada ya Uzamivu wa Sayansi ya Mazingira katika Taasisi ya Afrika ya Sayansi ya Nelson Mandela, Aziza Konyo, …

Soma Zaidi »

Wadau maendeleo ya vijana kukutana Dar

WADAU wenye dhamana ya kupigania maendeleo ya vijana nchini wanakutana kesho jijini Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali yanayohusu uwezeshaji…

Soma Zaidi »

Watakiwa kuchangia chakula kwa wanafunzi

KATIKA Kujenga upatikanaji wa elimu bora nchini, jamii imetakiwa kuchangia chakula ili wanafunzi waweze kushiriki vyema katika masomo na kukidhi…

Soma Zaidi »

Mkojo wa sungura watumika kufukuza wadudu

MKOJO wa sungura ukivundikwa kwa siku saba unaweza kutumika shambani kwa ajili ya kufukuza wadudu waharibifu kupitia harufu yake. Ofisa…

Soma Zaidi »

Watakiwa kuwekeza kilimo ch vanila

WANANCHI wa Mkoa wa Dar es Salaam wametakiwa kutambua faida zilizopo katika kilimo cha vanilla na kujikita kuwekeza katika kilimo…

Soma Zaidi »

Wakimbizi wagoma kurejea Burundi, wataka waende Ulaya

LICHA ya WAKIMBIZI wa Burundi wanaohifadhiwa kwenye kambi ya Nyarugusu wilayani Kasulu mkoani Kigoma kutokuwa na sifa ya kwenda nchi…

Soma Zaidi »

Mbaroni akidaiwa kutusi viongozi

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata mkazi wa Kigamboni, Selemani Agai Gaya (18) ambaye anatuhumiwa  kutoa…

Soma Zaidi »
Back to top button