Jamii

Polisi Dar wakamata bunduki, bastola

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limekamata silaha mbili aina ya Shotgun Pump Action yenye namba MV…

Soma Zaidi »

Kortini kwa kutolipa kodi

MFANYABIASHARA Emmanuel Kapaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Geita akituhumiwa kukwepa kulipa kodi kwa miaka saba na kuisababishia hasara…

Soma Zaidi »

Ng’ombe 800 wakamatwa kwa kuharibu mashamba

MKUU wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro amesema wamekamata zaidi ya ng’ombe 800 waliokutwa wakila katika mashamba na kuharibu mazao…

Soma Zaidi »

Wakulima milioni 3 kunufaika na mifumo ya chakula Afrika

WAKULIMA milioni tatu nchini watanufaika na mpango mkakati wa shirika linalojishughulisha na ukuaji endelevu wa Mifumo ya Chakula Afrika (AGRA)…

Soma Zaidi »

Wawekezaji waitwa Katavi

WAWEKEZAJI nchini wameombwa kuendelea kuwekeza katika Wilaya ya Tanganyika na Mkoa wa Katavi kwa ujumla kwa kuwa serikali inaendelea na…

Soma Zaidi »

Ajali yaua 6 Geita 

WATU sita wamefariki dunia na wawili kujeruhiwa katika ajali ya gari dogo la  abiria aina ya Toyota Hiace yenye namba…

Soma Zaidi »

Vipindi vya Ubongo vyafikia familia mil 32

KAMPUNI ya uzalishaji vipindi vya elimu burudani ya Ubongo iliyoanzia nchini imetimiza miaka kumi huku ikifikia familia milioni 32 Afrika.…

Soma Zaidi »

Polisi yaonya kugusa waliouawa, waliojiua

JESHI la Polisi limeonya wenye tabia ya kuingia katika maeneo ya matukio, kushika au kugusa vitu vilivyotumika katika uhalifu. Pia…

Soma Zaidi »

GISELA KIMARIO : Kamanda Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori

Anayeonesha njia katika ulimwengu unaomilikiwa na wanaume GISELA Kimario ni miongoni mwa makamishna wasaidizi waandamizi watano pamoja na makamishna wasaidizi…

Soma Zaidi »

Wananchi wataka vifaa tiba zahanati Visakazi

WANANCHI wa kijiji cha Visakazi, kata ya Ubena, Halmashauri ya Chalinze, mkoani Pwani wameiomba serikali kutatua changamoto ya ukosefu wa…

Soma Zaidi »
Back to top button