Jamii

Watuhumiwa kuweka sumu vyanzo vya maji

WAFUGAJI katika kijiji cha Kaloleni, kata ya Ubena, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani wamewatuhumu wakulima kuweka sumu katika vyanzo vya maji…

Soma Zaidi »

Watakiwa kubadili mtazamo sekta ya kilimo

WANAWAKE na vijana wametakiwa kuacha mawazo kuwa kilimo ni lazima kushika jembe la mkono na kulima, bali waangalie fursa zilizopo…

Soma Zaidi »

Katambi aonya wasiopeleka michango hifadhi ya jamii

NAIBU Waziri Ofi si ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi amewataka waajiri kote nchini kuhakikisha…

Soma Zaidi »

PURA wahimizwa kuziishi tunu za mamlaka

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (kushoto pichani), Mha. Charles Sangweni amewahimiza wafanyakazi wa PURA…

Soma Zaidi »

Watatu mbaroni mauaji ya wanandoa

WATU  watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga  kwa tuhuma za mauaji ya  wanandoa William Manyama na Christina  Mahela,…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Serikali inataka wananchi wapate huduma huko waliko

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inataka kuona wananchi wakipatiwa huduma za afya huko waliko, bila…

Soma Zaidi »

RC Katavi ataka umeme vituo vya afya, shuleni

SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco) Mkoa wa Katavi limepewa hadi Julai 30,2023 kuhakikisha majengo yote ya vituo vya afya, hospitali…

Soma Zaidi »

REA yaita wanaotaka kufungua vituo vya mafuta vijijini

WAKALA wa Nishati Vijijini (REA),  imewaita wananchi wenye nia ya kuwekeza katika ujenzi wa vituo vya mafuta vijijini kufika katika…

Soma Zaidi »

Dk Mpango atoa maagizo utekelezaji miradi

UTEKELEZAJI duni wa miradi ya maendeleo inayofanyika katika wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma, imemkera Makamu wa Rais Dk.Philip Mpango na…

Soma Zaidi »

PSSSF waja kisasa zaidi mafao ya wastaafu

MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma(PSSSF),Hosea Kashimba amesema mfuko huo utazindua mpango kutoa mafao…

Soma Zaidi »
Back to top button