Jamii

Mtoto afa baada ya kutumbukia shimoni

MTOTO Robert Maganga (2) amefariki dunia baada ya kutumbukia katika shimo lililokuwa limechimbwa na wazazi wake kwa ajili ya kuvuna…

Soma Zaidi »

Tume yaundwa kuchunguza kifo cha aliyefia Polisi

MKUU wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella amesema kuwa kamati maalumu imeundwa kuchunguza kifo cha mkazi wa Mganza wilayani Chato,…

Soma Zaidi »

Mlinzi wa msikiti auawa kwa kuchinjwa

MLINZI Bakari Kasarani (46) wa kampuni binafsi ya ulinzi aliyekuwa akilinda msikiti wa Shree Hindu Mandal Temple uliopo mjini Kahama…

Soma Zaidi »

Watakiwa kuimarisha mapato, dawa, vifaa tiba

WASIMAMIZI wa vituo vya afya wa halmashauri za wilaya za Mkoa wa Morogoro wametakiwa kuimarisha makusanyo ya mapato, upatikanaji wa…

Soma Zaidi »

Nape mgeni rasmi tamasha la Pasaka

WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la Pasaka litakalofanyika April 9,2023.…

Soma Zaidi »

Mabula: Wadau saidieni timu za wanawake

MBUNGE wa jimbo la Ilemela Dk Angeline Mabula amewaomba wadau mbalimbali wa soka mkoani Mwanza kujitokeza kwa wingi katika kuzisaidia…

Soma Zaidi »

11 wadakwa gesti wakiwa nchini kinyemela

RAIA 11 wa Somalia wakiwamo watoto watatu wa kike wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuingia nchini bila kibali baada…

Soma Zaidi »

Dereva, kondakta washikiliwa usafirishaji vipodozi hatari

POLISI mkoani Mbeya imemkamata dereva na kondakta wake wakisafirisha shehena na vipodozi vyenye viambata vya sumu kwa kutumia lori la…

Soma Zaidi »

Taasisi yadhamiria kuinua wanawake Tanzania

TAASISI ya Mke wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini, Graca Machel inakusudia kuwainua wanawake kiuchumi nchini Tanzania baada ya…

Soma Zaidi »

Watanzania 50 wakataliwa kupewa hadhi ya ukimbizi

WATANZANIA 50 ambao walijiorodhesha kama sehemu ya waomba hifadhi, ili kupewa hadhi ya ukimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo…

Soma Zaidi »
Back to top button