Jamii

Waonywa kugawa mashamba pori yaliyofutwa

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Fatma Mwasa, amewaonya wataalamu wa ardhi wa mkoa huo kuacha mpango wa kugawa kwa wawekezaji wengine…

Soma Zaidi »

Polisi yawashikilia 15 mauaji ya wafugaji Tunduru

JESHI la Polisi kupitia kikosi cha kupambana na kuzuia wizi wa mifugo nchini, linawashikilia watuhumiwa 15, wanaodaiwa kuhusika katika tukio…

Soma Zaidi »

Wiki ya Viziwi kufanyika Mtwara Okt. 26 

MKOA wa Mtwara unatarajia kuwa mwenyeji wa maadhimisho ya Wiki Viziwi Kitaifa, ambayo yatafanyika Oktoba 26, mwaka huuu. Maadhimisho hayo…

Soma Zaidi »

TARURA: Ujenzi kwa teknolojia ya mawe huokoa gharama

WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), imesema ujenzi wa barabara na madaraja kwa kutumia teknolojia ya mawe na…

Soma Zaidi »

Ipo haja kuvalia njuga afya ya akili

KATIKA siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio yasiyo ya kawaida na yasiyo ya kibinadamu yanatokea katika maeneo mbalimbali ya…

Soma Zaidi »

Walengwa Tasaf watakiwa kutimiza masharti

WALENGWA wa mpango wa kunusuru kaya masikini unaotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) awamu ya nne, wametakiwa kutimiza…

Soma Zaidi »

UDSM kusaidia elimu shule maalumu Sinza

CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeingia makubaliano na Shule Maalumu Sinza kuhakikisha watoto wenye mahitaji maalumu wanapata elimu…

Soma Zaidi »

Aliyempiga mkewe kwa kumwaga dawa akamatwa

KIJANA Namendea Lesiria anayedaiwa kumpiga mkewe Mesoni Kashiro , mweye umri wa miaka 15, mkazi wa kijiji cha Gelailumbwa, Kata…

Soma Zaidi »

Wavuvi wawili wafa maji Ziwa Victoria

WAVUVI wawili katika mwalo wa Bunyorwa, kandokando ya Ziwa Victoria, Wilaya ya Busega Mkoa wa Simiyu wamefariki dunia, baada ya…

Soma Zaidi »

RC Katavi kuunda tume mgogoro TAWA, wananchi

MKUU wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amewaahidi wananchi wa Kata ya Kamsisi wilayani Mlele kuwa, ataunda tume ya wataalamu…

Soma Zaidi »
Back to top button