Jamii

Waziri Aweso atoa maagizo maji safi

WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, amewataka  Wakurugenzi Watendaji wa Mamlaka za Maji safi na Usafi wa Mazingira nchini, kushughulika na…

Soma Zaidi »

Rais Samia akabidhi ahadi yake ujenzi KKKT Chamwino

RAIS Samia Suluhu Hassan, ametoa Sh milioni 50 kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Chamwino Ikulu,…

Soma Zaidi »

Polisi yapewa ushauri taarifa za mauaji

WADAU wa masuala ya kisheria wameshauri Jeshi la Polisi nchini lisiache kutoa taarifa za matukio ya mauaji kwa sababu wananchi…

Soma Zaidi »

Washauri mafunzo kupunguza migogoro kazini

VYAMA vya wafanyakazi na taasisi za umma na binafsi zimeshauriwa kuweka nguvu eneo la mafunzo kuhusu sheria za kazi kwa…

Soma Zaidi »

Wakimbizi wa Burundi wakumbushwa kurejea nyumbani

WAKIMBIZI wa Burundi wanaohifadhiwa kwenye kambi ya Nduta Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wametakiwa kuwekeza nguvu na akili zao katika…

Soma Zaidi »

Ashauri kutomwachisha mtoto maziwa kwa sababu za ujauzito

DAKTARI bingwa wa magonjwa ya watoto kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dk Mwita Ngutunyi amesema mila na…

Soma Zaidi »

Diamond Platnumz apata ‘shavu’ ubalozi vitenge vya wax

WATENGENEZAJI na wasambazaji wa kimataifa wavitambaa na vitenge vya wax, HOLLANTEX wamemtangaza msanii wa muziki wa Bongo flava Diamond Platinumz…

Soma Zaidi »

Msako wanaonunua vifaa vya wizi Dar waja

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amesema kwa siku nne sasa tangu kuanza kwa operesheni ya kukabiliana…

Soma Zaidi »

Kata ya Kamundi wamshukuru Samia ujenzi wa daraja

WAKAZI wa Kata ya Kamundi Halmashauri ya Nanyumbu, mkoani Mtwara, wamepanga kufanya sherehe ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan, kwa…

Soma Zaidi »

Mauaji yaundiwe mkakati kuyakomesha

UMOJA, amani, upendo na mshikamano ni miongoni mwa sifa ambazo Tanzania imejaliwa kuwa nazo tangu ilipopata uhuru wake mwaka 1962…

Soma Zaidi »
Back to top button