Africa

Al-Shabab kuondolewa Somalia

RAIS wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud amesema taifa hilo lina muda wa mwaka mmoja kuliondoa kundi la wanamgambo wa Al-Shabaab…

Soma Zaidi »

Watu 37 wafariki mkanyagano usajili wa wanajeshi Congo

TAKRIBANI watu 37 wamefariki katika mkanyagano wakati wa harakati za kuwasajili wanajeshi katika uwanja wa michezo nchini Congo, serikali imesema.…

Soma Zaidi »

Wafuasi watatu wa Rais mteule Liberia wafa

WATU* watatu wamekufa na wengine 20 wako hospitalini nchini Liberia baada ya gari kuwagonga wafuasi wa Rais mteule, Joseph Boakai,…

Soma Zaidi »

Rais Liberia kuangalia upya sekta ya madini

RAIS mteule wa Libeŕia, Joseph Boakai, ambaye alimshinda Rais George Weah amesema utawala wake utaangalia kwa makini maafikiano ya uchimbaji…

Soma Zaidi »

Mbadala wa Sonko apatikana uchaguzi Senegal

CHAMA cha kiongozi wa upinzani wa Senegal aliyefungwa jela, Ousmane Sonko kimesema kitamteua mgombea mbadala wa nafasi ya urais katika…

Soma Zaidi »

Saba wauawa majibizano ya risasa DR Congo

TAKRIBANI watu saba wameuawa katika majibizano ya risasi na waasi wa M23 huko Kivu Kaskazini, Mashariki mwa DR Congo. –…

Soma Zaidi »

Wafungwa 4,000 waachiwa Nigeria

Zaidi ya wafungwa 4,000 waachiwa Nigeria SERIKALI ya Nigeria imetangaza kuwaachia wafungwa zaidi ya 4,000 ili kupunguza msongamano magerezani. –…

Soma Zaidi »

Kaya 80,000 zapatiwa msaada Kenya

TAKRIBANI kaya 80,000 nchini Kenya zimeathiriwa na mvua kubwa, mafuriko na maporomoko ya ardhi wiki iliyopita, Naibu wa Rais amesema.…

Soma Zaidi »

Zimbabwe yatangaza hali ya dharura mlipuko Kipindupindu

ZIMBABWE imetangaza hali ya dharura katika mji Mkuu wa Harare kufuatia mlipuko wa Kipindupindu. – Mlipuko huo hadi sasa umeua…

Soma Zaidi »

George Weah akubali kushindwa

RAIS wa Liberia George Weah amekubali kushindwa katika uchaguzi na kiongozi wa upinzani Joseph Boakai baada ya ushindani mkali wa…

Soma Zaidi »
Back to top button