Africa

Watu 100 wafa maji wakitoka harusini

NIGERIA: ZAIDI ya watu 100 wakiwemo watoto  wamekufa maji katia ajali ya boti iliyopinduka kaskazini mwa Nigeria ikiwa na familia…

Soma Zaidi »

Bola Tinubu aapishwa kuwa Rais wa Nigeria

Bola Tinubu ameapishwa kuwa rais wa tano wa Nigeria. Tinubu amekula kiapo katika ka katika uwanja wa Eagle Square mjini…

Soma Zaidi »

Hospitali inachunguzwa kwa kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi

HOSPITALI moja nchini Afrika Kusini inachunguzwa kwa tuhuma za tukio la watoto wachanga kuwekwa kwenye maboksi badala ya kiangulio ‘incubator’…

Soma Zaidi »

Tinubu kuapishwa rasmi leo

Gavana wa zamani wa Lagos, Bola Ahmed Tinubu, , anatarajiwa kuapishwa leo kuwa rais mpya wa Nigeria. Bola Tinubu, 71,…

Soma Zaidi »

Washindi Shindano la Uongozi wa Vijana 2023 wapewa tuzo za ALF Accra

VIONGOZI vijana watano wametunukiwa tuzo katika hafla iliyofanyika wakati wa Kongamano la Uongozi wa Afrika (ALF), lilisimamiwa na aliyekuwa Rais…

Soma Zaidi »

Dangote kuzindua kiwanda cha kusafisha mafuta leo

KIWANDA cha Kusafisha Mafuta cha Dangote nchini Nigeria kitaanza kufanya kazi leo Jumatatu Mei 22, mwaka huu huku kukiwa na…

Soma Zaidi »

WB yatoa Dola milioni 150 kimbunga freddy Msumbiji

BENKI ya Dunia imetoa Dola milioni 150 kati ya fedha ambazo imetenga kwa ajili ya miradi ya Msumbiji kusaidia kufadhili…

Soma Zaidi »

Watu 100 wauawa mapigano Nigeria

IDADI watu waliouawa kutokana na mapigano kati ya wakulima na wafugaji katika jimbo la kaskazini la Plateau nchini Nigeria imeongezeka…

Soma Zaidi »

Twiga Cement yasaidia waathirika mafuriko Rwanda

KAMPUNI ya Saruji Tanzania Portland Cement ijulikanayo kwa jina la Twiga Cement imekabidhi tani 64 sawa na mifuko 1,280 ya…

Soma Zaidi »

Tanzania yang’ara utalii wa tiba EAC

TANZANIA imetajwa kung’ara katika utalii wa tiba kutokana na watu kutoka nchi mbalimbali zikiwamo za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)…

Soma Zaidi »
Back to top button