Africa

Viongozi, Wafanyabiashara Afrika kukutana Ghana

VIONGOZI wa Kiserikali na Wafanyabiashara mashuhuri barani Afrika wanatarajia kukutana kwa siku tatu nchini Ghana mwishoni mwa mwezi huu kujadili…

Soma Zaidi »

Ruto ataka migogoro ya mipaka kutatuliwa

RAIS William Ruto wa Kenya ametoa wito kwa Rais wa Sudan, Salva Kiir kumaliza mzozo katika eneo la Upper Nile…

Soma Zaidi »

Kalonzo, Ngole wataka sarafu EAC iharakishwe

MAKAMU wa Rais wa zamani wa Kenya, Kalonzo Musyoka amesisitiza umuhimu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kurejesha haraka matumizi…

Soma Zaidi »

‘Wafanyabiashara EAC tumieni fursa Tanzania’

WIZARA ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara imewaita wafanyabiashara katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), barani Afrika na kwingineko…

Soma Zaidi »

Watu 10 wafariki katika mlipuko wa gari la mafuta

Watu 10 wamethibitishwa kufariki, huku wengine 27 wakijeruhiwa baada ya Lori la mafuta kulipuka katika mji wa Boksburg nchini Afrika…

Soma Zaidi »

Mtanzania adakwa na Dawa za Kulevya Afrika Kusini

MAMLAKA ya kudhibiti Dawa za Kulevya nchini Afrika Kusini imemkamata Ahmadi Mbwana Chonde (50) ambaye ni raia wa Tanzania akiwa…

Soma Zaidi »

UN kusaidia watu milioni 7 wanaokabiliwa na majanga

Watu million 6.8 walioko hatarini katika majanga mbalimbali watafaidika na mpango wa Umoja wa Mataifa (UN) wa kupewa msaada, ili…

Soma Zaidi »

Walimu watatu wasota jela makosa ya mitihani

WALIMU watatu nchini Uganda; Robert Mubiru, Wenecelaus Twongereirwe na Vincent Atukwase wanaokabiliwa na kesi ya kuvujisha mtihani nchini humo wameendelea…

Soma Zaidi »

Ntakarutimana achaguliwa Spika EALA

WABUNGE wa Bunge la  Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), wamemchagua Joseph Ntakarutimana kuwa Spika wa bunge hilo katika uchaguzi uliofanyika…

Soma Zaidi »

Kipindupindu chaua 31 Nigeria

WATU 31 wamefariki baada ya kuibuka wimbi jipya la kipindupindu nchini Nigeria Jumapili na Jumatatu katika vijiji 10 vya jimbo…

Soma Zaidi »
Back to top button