Africa

Kenya yapata soko la parachichi China

MAPARACHICHI kutoka Kenya yamepata soko kubwa nchini China kutokana na ubora wake unaozidi kuwavutia watu wengi duniani kwa kuwa yanafaa…

Soma Zaidi »

Madaktari wagoma wakidai mazingira bora ya kazi

MADAKTARI katika sehemu mbalimbali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wameendelea na mgomo wao hata baada ya serikali kuwasihi…

Soma Zaidi »

Wavuvi Kivu washtushwa na uhaba wa samaki

JAMII ya wavuvi katika Ziwa Kivu wamesema upatikanaji wa samaki katika ziwa hilo umeshuka na kuathiri uchumi wa wananchi wa…

Soma Zaidi »

Rwanda kuimarisha soko la chai kimataifa

RAIS Paul Kagame amesema serikali yake itaendelea kushirikiana na wakulima wote nchini kuhakikisha inaimarisha soko la kimataifa la mazao ikiwemo…

Soma Zaidi »

‘Nigeria jifunzeni kutoka kwa Rwanda’

RAIS wa zamani wa Nigeria, Goodluck Jonathan amewaomba wananchi wa Nigeria kujifunza kwa ndugu zao wa Rwanda namna bora ya…

Soma Zaidi »

Rwanda, Uganda waanzisha mazungumzo ya kidiplomasia

MATAIFA ya Rwanda na Uganda yameanzisha tena mazungumzo rasmi ya kidiplomasia yenye lengo la kurudisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya…

Soma Zaidi »

Mahakama yaungana na Wakenya: Ruto ni Rais

MAHAKAMA ya Juu nchini Kenya imethibitisha ushindi wa Dk William Ruto kuwa Rais wa Kenya katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti…

Soma Zaidi »

Viongozi Afrika wajadili kukabili mabadiliko tabianchi

WAZIRI wa Nishati, January Makamba amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa viongozi wa dunia unaojadili programu ya Afrika…

Soma Zaidi »

Kamati ya Bunge yapongeza maono ya EAC

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama imeipongeza Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa kutafsiri…

Soma Zaidi »

Odinga atoa msimamo uamuzi wa mahakama

MGOMBEA urais wa Kenya kwa tiketi ya Muungano wa Azimio, Raila Odinga amesema anaheshimu uamuzi wa Mahakama ya Juu ya…

Soma Zaidi »
Back to top button