Kimataifa

Erdogan atangazwa mshindi katika uchaguzi wa marudio Uturuki

Wafuasi wa Recep Tayyip Erdogan walisherehekea hadi usiku baada ya rais wa muda mrefu wa Uturuki kupata miaka mingine mitano…

Soma Zaidi »

Watu 10 wauawa vita ya wakulima, wafugaji

TAARIFA kutoka Kusini mwa Taifa la Chad zinaeleza kuwa watu 10 wameuawa baada ya kuzuka kwa mapigano kati ya wafugaji…

Soma Zaidi »

Washindi Shindano la Uongozi wa Vijana 2023 wapewa tuzo za ALF Accra

VIONGOZI vijana watano wametunukiwa tuzo katika hafla iliyofanyika wakati wa Kongamano la Uongozi wa Afrika (ALF), lilisimamiwa na aliyekuwa Rais…

Soma Zaidi »

UN kuyakabili majanga Afrika

ZAIDI ya watu milioni 43 kutoka Ethiopia, Kenya na Somalia wanaendelea kuteseka kutokana na ukame mbaya zaidi katika historia ya…

Soma Zaidi »

Afa kwa kugongwa na gari akisaidia bata kuvuka barabaraba

MWANAUME mmoja kutoka California nchini Marekani amefariki baada ya kugongwa na gari wakati akimsaidia bata na watoto wake kuvuka barabara…

Soma Zaidi »

Dangote kuzindua kiwanda cha kusafisha mafuta leo

KIWANDA cha Kusafisha Mafuta cha Dangote nchini Nigeria kitaanza kufanya kazi leo Jumatatu Mei 22, mwaka huu huku kukiwa na…

Soma Zaidi »

Watu zaidi ya milioni 1 wakimbia Sudan

  KHARTOUM, Sudan TAKRIBANI wakimbizi 250,000 wamevuka na kuingia nchi jirani na Sudan tangu Aprili 15, 2023 baada ya mzozo…

Soma Zaidi »

Watu 12 wapoteza maisha vurugu uwanjani

TAKRIBANI watu 12 wameuawa katika vurugu zilizotokea ndani ya Uwanja wa El Salvador ambapo mashabiki wa soka walikusanyika kutazama mechi…

Soma Zaidi »

WB yatoa Dola milioni 150 kimbunga freddy Msumbiji

BENKI ya Dunia imetoa Dola milioni 150 kati ya fedha ambazo imetenga kwa ajili ya miradi ya Msumbiji kusaidia kufadhili…

Soma Zaidi »

Watu 100 wauawa mapigano Nigeria

IDADI watu waliouawa kutokana na mapigano kati ya wakulima na wafugaji katika jimbo la kaskazini la Plateau nchini Nigeria imeongezeka…

Soma Zaidi »
Back to top button