Kimataifa

WMO yatabiri ongezeko la joto duniani

GESI chafuzi za viwandani na matukio ya kimaumbile ya El-Nino imetajwa kuwa ni sababu itakayopelekea kuongezeka kwa kiwango cha juu…

Soma Zaidi »

Hatua zaanza kupunguza ajali za vifo Afrika

UMOJA wa Mataifa (UN) umetoa taarifa ya ajali za barabarani ambapo vifo vya vijana wa Bara la Afrika vimeongezeka. Imeelezwa…

Soma Zaidi »

Walionyongwa waongezeka kwa asilimia 53

SHIRIKA la Kimataifa la Kutetea Haki za Binaadamu ‘ Amnesty International’ limesema idadi ya watu waliouawa kwa kunyongwa ulimwenguni kote…

Soma Zaidi »

Twiga Cement yasaidia waathirika mafuriko Rwanda

KAMPUNI ya Saruji Tanzania Portland Cement ijulikanayo kwa jina la Twiga Cement imekabidhi tani 64 sawa na mifuko 1,280 ya…

Soma Zaidi »

Tanzania yang’ara utalii wa tiba EAC

TANZANIA imetajwa kung’ara katika utalii wa tiba kutokana na watu kutoka nchi mbalimbali zikiwamo za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)…

Soma Zaidi »

Zelenskyy aomba msaada wa kijeshi Ujerumani 

RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy amewasili na kupokelewa na Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz ikiwa ni ziara yake ya kwanza…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu mstaafu Pakistan akamatwa

WAZIRI Mkuu wa zamani wa Pakistan, Imran Khan amekamatwa nje ya Mahakama ya Islamabad leo Mei 9, 2023. Taarifa ya…

Soma Zaidi »

Wapuuza mazungumzo ya kusitisha vita Sudan

Ndege za kijeshi za Sudan zinaendelea na mashambulizi ya anga katika mji mkuu Khartoum na miji ya karibu ya Bahri…

Soma Zaidi »

Abiria wakwama Uwanja Ndege Abuja

Safari kadhaa za ndege zimesitishwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe katika mji mkuu wa Nijeria, Abuja baada…

Soma Zaidi »

Juhudi za amani Sudan zaanza Saudi Arabia

OFISA Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya kibinadamu Martin Griffiths, aliwasili katika Jiji la Jeddah, Saudi Arabia siku…

Soma Zaidi »
Back to top button