Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mavunde ataka sheria ifuatwe kuepuka migogoro madini

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amewataka moafisa madini wakazi wa mikoa kuendelea kusimamia sheria kwenye utendaji kazi ili kuepuka migogoro…

Soma Zaidi »

Lekashingo aahidi ushirikiano madini

MWENYEKITI mpya wa Tume ya Madini, Janet Lekashingo ameahidi kufanya kazi kwa uadilifu, uaminifu na ushirikiano mkubwa na watumishi na…

Soma Zaidi »

Tanzania yang’ara miradi ya Kinywe

RIPOTI ya Benki ya Dunia na Takwimu za Taasisi ya Jiolojia ya Marekani kuhusu makisio ya utajiri wa mashapo ya…

Soma Zaidi »

Uwekezaji mkubwa sekta ya madini mapato yaongezeka

“Serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika Sekta ya Madini, tumenunua mitambo mikubwa, mitano imeshafika nchini, kumi ipo njiani inakuja, mitambo hii…

Soma Zaidi »

Tanzania yajizatiti kuzuia matumizi ya zebaki

DAR ES SALAAM – Tanzania imezidisha juhudi za kupunguza matumizi yatokanayo na zebaki ambayo hutumiwa sana na wachimbaji wadogo wa…

Soma Zaidi »

‘Tanzania mbioni kuzalisha madini ya Niobium’

TANZANIA ipo mbioni kuanza uzalishaji wa madini ya Niobium ambayo ni moja ya madini adimu yanayotumika katika mitambo mbalimbali ikiwemo…

Soma Zaidi »

Wilaya zote Mtwara kufikiwa na mitungi ya gesi

MTWARA: MKOA wa Mtwara unatarajia kupokea mitungi ya gesi 1675 ambayo itasambazwa katika wilaya zote za mkoa huo na kuuzwa…

Soma Zaidi »

Ukarabati Songo Songo kupaisha uzalishaji gesi asilia

LINDI: Ukarabati wa kisima cha gesi asilia unaoendelea katika Kitalu cha Songo Songo mkoani Lindi unatarajiwa kuongeza uzalishaji wa gesi asilia…

Soma Zaidi »

Puma Energy wafagiliwa Tuzo za Mawakala

WIZARA ya Nishati imetoa rai kwa mashirika na wadau mbalimbali nchini wakiwemo Puma Energy Tanzania kushirikiana kufanikisha azma ya Serikali…

Soma Zaidi »

Wizara yaitaka PURA kujipanga utangazaji vitalu vya mafuta, gesi

Tanga: Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati (anayeshughulikia masuala ya mafuta na gesi), Dk James Mataragio ametoa rai kwa Mamlaka…

Soma Zaidi »
Back to top button