Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Kenya matumaini makubwa bomba la gesi Dar-Mombasa

KENYA inakusudia kuendelea na ujenzi wa bomba la gesi asilia kutoka Dar es Salaam nchini Tanzania, hadi mji wake wa…

Soma Zaidi »

Bodi PURA yapongeza utendaji GASCO

BODI ya Wakurungezi ya mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), imepongeza kampuni tanzu (GASCO) ya Shirika…

Soma Zaidi »

Sh tri.121 zaokolewa matumizi gesi asilia

SERIKALI imeokoa kiasi cha shilingi trilioni 121, sawa na dola za Marekani bilioni 52 tangu kuanza kutumia nishati ya gesi…

Soma Zaidi »

TPDC waanza utekelezaji bomba la gesi Mtwara

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC), limeanza kutekeleza hatua za  kuanza ujenzi wa bomba la kusafirisha gesi asilia, lenye…

Soma Zaidi »

Bei ya mafuta yashuka Tanzania

SERIKALI imeidhinisha kiasi cha Sh bilioni 59.58 cha ruzuku ya mafuta kwa mwezi Oktoba ambapo sasa bei ya lita ya…

Soma Zaidi »

Misitu, madini wapewa changamoto ya teknolojia

OFISI ya Mkuu wa Mkoa wa Geita, imeziomba taasisi zinazosimamia rasilimali misitu na madini, kuungana kuwezesha upatikanaji wa Teknolojia ya…

Soma Zaidi »

Serikali: Ujenzi bomba la mafuta umezingatia sheria zote

SERIKALI imesema inasimamia kikamilifu sekta ya nishati, ikiwemo kuendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika…

Soma Zaidi »

Watanzania 33,000 hufariki kwa moshi wa kupikia

WASTANI wa Watanzania  33,000 hufariki kila mwaka, kutokana na moshi wa kupikia. Waziri wa Nishati January Makamba alisema hayo jana…

Soma Zaidi »

Bodi TGDC yatembelea miradi ya kimkakati Mbeya, Songwe

BODI ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi nchini (TGDC), imekamilisha ziara ya siku tatu kutembelea miradi ya kimkakati inayotekelezwa…

Soma Zaidi »

Oryx wapania kufungua vituo zaidi mikoani

KAMPUNI ya nishati ya Oryx Tanzania, imesema imedhamiria  kufungua vituo zaidi vya mafuta kwenye mikoa mbalimbali nchini. Mkurugenzi Mkuu wa…

Soma Zaidi »
Back to top button