Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Vigezo ufunguzi, fainali Afcon 2027 vyatajwa

DAR ES SALAAM; RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameweka wazi vigezo vitakavyotumika kuchagua nchi…

Soma Zaidi »

Nani kuwafuata ‘Gen Z’ fainali Euro 2024?

BAADA ya kikosi cha timu ya taifa ya Hispania chenye vijana wengi ‘Gen Z’ kutinga fainali ya Kombe la Mataifa…

Soma Zaidi »

Ni Hispania au Ufaransa kutinga fainali EURO 2024?

NUSU fainali ya kwanza ya Kombe la Mataifa ya Ulaya(EURO2024) kati ya Hispania na Ufaransa inafanyika leo huko Ujerumani. Mchezo…

Soma Zaidi »

Wachezaji Yanga wapimwa afya

DAR ES SALAAM; Baadhi wa wachezaji wa Yanga wakipimwa afya Dar es Salaam leo, ikiwa ni maandalizi ya kuelekea msimu…

Soma Zaidi »

Yanga kuwania Kombe Sauzi

AFRIKA KUSINI; Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, imealikwa kushiriki michuano ya Toyota 2024 nchini Afrika Kusini, ambapo itacheza…

Soma Zaidi »

Simba haoo kambini Misri

DAR ES SALAAM; Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, tayari kwa…

Soma Zaidi »

Kombe la Mkuu wa Majeshi Julai 20

DAR ES SALAAM – MASHINDANO ya Kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF 2024) yanatarajiwa kuanza Julai 20 huku mechi ya…

Soma Zaidi »

Baleke katikati ya Dube na Mzize Yanga

DAR ES SALAAM – KLABU ya Yanga imeachana na mshambuliaji wake Joseph Guede kutoka Ivory Coast na nafasi yake imechukuliwa…

Soma Zaidi »

Erling Haaland, Nico Williams kutua Barcelona

TETESI za usajili zinasema Barcelona inatarajia kuongeza wachezaji wawili maarufu katika madirisha mawili yajayo ya uhamisho ya kiangazi, Nico Williams…

Soma Zaidi »

Robo fainali EURO 2024 kukamilika leo

BAADA ya Hispania na Ufaransa kutangulia nusu fainali za Kombe la Mataifa ya Ulaya(EURO2024) zinazofanyika Ujerumani, michezo miwili ya mwisho…

Soma Zaidi »
Back to top button