Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mbappe arejea Ufaransa kwa matibabu

UJERUMANI – SHIRIKISHO la Soka nchini Ufaransa (FFF) limesema Kylian Mbappe amerejea kwenye kambi ya timu ya taifa na atatibiwa…

Soma Zaidi »

Ndumbaro atoa maagizo UMISSETA

TABORA – WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro ameagiza Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kuhakikisha vyama…

Soma Zaidi »

Fifa yazifungia klabu tano kusajili

DAR ES SALAAM – KLABU tano zimefungiwa kusajili na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) na Shirikisho la…

Soma Zaidi »

Ntibazonkiza Ntibazonkiza yametimia Simba

DAR ES SALAAM – KLABU ya Simba imeamua kuachana na kiungo wake mshambuliaji raia wa Burundi, Saido Ntibazonkiza. Ntibazonkiza alijiunga…

Soma Zaidi »

Wataalamu Fifa kushuhudia michezo Umisseta

TABORA; Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Damas Ndumbaro, amesema kuwa mashindano ya michezo ya Shule za Msingi (Umitashumta)…

Soma Zaidi »

Yanga yapigwa pini kusajili

DAR ES SALAAM: KLABU ya @yangasc imekutana na rungu jingine la kufungiwa kusajili wachezaji wapya kwa msimu wa 2024/25 kutokana…

Soma Zaidi »

Chelsea kuanza na Man City EPL

ENGLAND; CHELSEA itaanza na Manchester City katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu England msimu wa 2024/2025 utakaofanyika Agosti 18…

Soma Zaidi »

Majaliwa atoa maelekezo vikundi vya jogging

DAR ES SALAAM; Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya nchini kufanya mapitio ya vikundi…

Soma Zaidi »

Sugu awarejesha Daz Nundaz jukwaa moja

DAR ES SALAAM – RAPA mkongwe nchini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amewakutanisha wasanii wa kundi la Daz Nundaz na sasa wanatarajia…

Soma Zaidi »

Yanga yaandika historia nyingine

DAR ES SALAAM – YANGA jana imeandika historia nyingine kwa kuzindua Kitabu cha Historia ya Klabu hiyo tangu ilipoanzishwa Februari…

Soma Zaidi »
Back to top button