Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Nkunku yupo tayari

MENEJA wa Chelsea, Mauricio Pochettino amesema mshambuliaji Christopher Nkunku atakuwa sehemu ya kikosi kitakachomenyana na Sheffield United leo. Nkunku alijiunga…

Soma Zaidi »

Hersi aibukia tena CAF

IRINGA: BAADA ya kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Klabu za Afrika, Rais wa Yanga, Hersi Said sasa ameteuliwa kuwa…

Soma Zaidi »

Benchikha aanza na ushindi

KOCHA mpya wa Simba SC, Abdelhak Benchikha ameanza mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi…

Soma Zaidi »

Mboso: Aslay akijiunga WCB itakuwa balaa

MSANII kutoka kundi la WCB Wasafi, Mbwana Kilungi maarufu Mbosso Khan amesema endapo msanii mwenzake Aslay Isihaka atajiunga na kundi…

Soma Zaidi »

Aslay yupo tayari kufanya kazi na Fella

MSANII, Aslay Isihaka amesema hatokataa endapo Saidi Fella atataka wafanyekazi tena kama menaja wake sababu yeye ndiye aliyemfikisha hapo alipo.…

Soma Zaidi »

Gamondi: ‘Rotation’ niacheni mimi na timu yangu

DAR ES SALAAM: Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema  watu wengi wanahoji kwanini hatoi nafasi ya wachezaji wengine kupata nafasi…

Soma Zaidi »

Yanga yapotezwa adhabu ya Aucho

DAR ES SALAAM: Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeeleza kuwa kiungo wa Yanga,…

Soma Zaidi »

Mexime: Nani kasema Simba ni dhaifu?

DAR ES SALAAM: KOCHA wa Kagera Sugar, Mecky Mexime amesema ni kuikosea Simba heshima kusema hawana msimu mzuri kutokana kile…

Soma Zaidi »

Benchikha: Siwafahamu Kagera Sugar, tutajuana kesho

DAR ES SALAAM: KOCHA Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha amesema mchezo wa kesho dhidi ya Kagera Sugar utachora ramani ya…

Soma Zaidi »

Nyota tisa United, kuikosa Liverpool

MANCHESTER United itawakosa wachezaji 13 katika mchezo wa EPL dhidi ya Liverpool Jumapili hii. Wachezaji hao ni Marcus Rashford na…

Soma Zaidi »
Back to top button