Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Rombo Marathon kuvuta wanariadha 1000

WANARIADHA  1000 wanatarajiwa kushiriki msimu wa pili wa mbio za riadha za Rombo Marathon zitakazofanyika wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro. Mbio…

Soma Zaidi »

Mganda, Mkenya washinda mbio za magari

USHINDI wa mbio za magari za taifa (Asas National Rally Championship) na ule wa Mashindano ya Magari Afrika ( Africa…

Soma Zaidi »

Kocha Mamelodi atangaza raha

KOCHA Mkuu wa timu ya  Mamelodi Sundowns, Rulani Mokwena amejinasibu kuishangaza Afrika  leo kwenye mchezo dhidi ya Wydad Athletic Club…

Soma Zaidi »

Soka la wanawake na unyanyapaa michezoni

TANZANIA ni mfano wa mataifa ya kuigwa yaliyopiga hatua kwenye soka la wanawake, kwa kushiriki Kombe la Dunia kwa wanawake…

Soma Zaidi »

Mashindano ya magari Asas kufanyika tena mwakani

KAMPUNI ya Asas imenogewa na mashindano ya magari Afrika (Africa Rally Championship) na mashindano ya magari ya taifa (Asas National…

Soma Zaidi »

Watumishi sasa mshindwe wenyewe

ARUSHA: Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), Ephraim Mafuru amesema michezo mahali pa kazi ina umuhimu…

Soma Zaidi »

Jkt Queens nusu fainali CAFWCL ile pale

IVORY COAST: Timu ya Jkt Queens leo itacheza mchezo wake wa mwisho hatua ya makundi michuano ya Ligi ya Mabingwa…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Hongera Yanga, pole Simba

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameipongeza klabu ya Yanga kufuatia ushindi wa mabao 5-1dhidi ya Simba SC, mchezo uliopigwa Novemba 5,…

Soma Zaidi »

Mashindano ya magari Afrika kufanyika Iringa

MZUNGUKO wa saba wa mwisho wa mashindano ya magari ya Afrika unaofahamika kama ‘Africa Rally Champion Ship’ Mwaka 2023 yataanza…

Soma Zaidi »

Simba SC mwaka wa tabu

Simba SC imeendelea kuangusha pointi kwa mara nyingine baada ya leo kuambulia sare ya bao 1-1 dhidi ya Namungo, mchezo…

Soma Zaidi »
Back to top button