Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Timu za Taifa zapishana tu angani

DAR ES SALAAM: TIMU za Taifa za Tanzania zinapishana angani, awali mapema asubuhi timu ya Taifa ya wakubwa @taifastars_ imeondoka kuelekea Morocco…

Soma Zaidi »

Simba kazi imeanza upyaaa

DAR ES SALAAM: MENEJA Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba, Ahmed Ali amesema kuna kazi kubwa ya kupita tawi…

Soma Zaidi »

FIFA yaifungia usajili Chippa United madai ya Abdi Banda

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Ulimwenguni (FIFA) limeifungia klabu ya Chippa United ya Afrika Kusini kutokana na mzozo wa kifedha…

Soma Zaidi »

Mtendaji Mkuu Man United kuachia ngazi

BREAKING: MTENDAJI Mkuu wa Manchester United, Richard Arnold ataondoka katika nafasi hiyo mwishoni mwa mwaka huu, BBC Sports imeripoti. –…

Soma Zaidi »

Song atundika daluga

KIUNGO wa zamani wa Arsenal, Alexander Song amestaafu kucheza soka. – Song ,36, raia wa Cameroon alianza kucheza soka akiwa…

Soma Zaidi »

Whozu, Billnass, Mbosso wapata ahueni

DAR ES SALAAM; Wasanii Oscar Lelo ‘Whozu’, William Lyimo ‘Billnass’ na Mbwana Kilungi ‘Mbosso’ wamepata ahueni ya kuondolewa adhabu ya…

Soma Zaidi »

Jkt Queens yachomoza Tuzo za CAF 2023

MISRI: Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) limemjumuisha Golikipa wa JKT Queens na timu ya Taifa ya wanawake…

Soma Zaidi »

Simba waja kivingine zaidi

DAR ES SALAAM: Ofisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba Imani Kajula amesema klabu hiyo imedhamiria kuendelea kuiteka mitandao ya…

Soma Zaidi »

Eriksen, Hojlund waumia

KIUNGO wa Manchester United, Christian Eriksen atakuwa atakosa michezo kadhaa kutokana na majeraha ya kifundo cha mguu. Majeraha hayo huenda…

Soma Zaidi »

Eriksen, Hojlund waumia

MANCHESTER, England: KIUNGO wa Manchester United, Christian Eriksen atakuwa atakosa michezo kadhaa kutokana na majeraha ya kifundo cha mguu. Majeraha…

Soma Zaidi »
Back to top button