Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Haaland aumia

MSHAMBULIAJI wa Norway, Erling Haaland atakosa mechi ya Norway dhidi ya Scotland kutokana na jeraha lake la kifundo cha mguu.…

Soma Zaidi »

 Vini aumia tena

​MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Vinicius Junior ameondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Brazil kutokana na jeraha la misuli.…

Soma Zaidi »

UEFA yaipa 5 Tanzania

DAR ES SALAAM: SHIRIKISHO la Mpira barani Ulaya (UEFA,) limeipongeza Tanzania kupitia Taasisi isiyo ya kiserikali ya Karibu Tanzania Organization…

Soma Zaidi »

Saada: Filamu fupi zinalipa wasanii kazi kwenu

MTAYARISHAJI  na muongozaji wa Filamu ya ‘Mwandishi’ inayoshikilia tuzo ya Kimataifa ya filamu bora fupi ya ZIFF 2023 Juma Saada…

Soma Zaidi »

Dk Ndumbaro ataka makubwa kwa pazi Afrika Kusini

DAR ES SALAAM: Waziri wa utamaduni,Sanaa na michezo Dk,Damas Ndumbaro ameitakia kila la heri timu ya kikapu ya pazi na…

Soma Zaidi »

Biteko acharuka muitikio mdogo Shimmuta

DODOMA: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,  Dk. Doto Biteko amemtaka Msajili wa Hazina kufikia Jumanne asubuhi awasilishe maelezo…

Soma Zaidi »

Yamemkuta, Aucho atulizwa mechi tatu

DAR ES SALAAM; Bodi ya ligi kuu Tanzania bara imemfungia ,michezo mitatu mchezaji wa klabu ya Yanga, Khalid Aucho pamoja…

Soma Zaidi »

Ndumbaro ateta na watumishi wa Wizara

DODOMA:  Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo  Dk. Damas Ndumbaro ameagiza Watumishi wa wizara kuitumikia wizara hiyo kwa kuzingatia falsafa…

Soma Zaidi »

Uruguay yatibua rekodi za Argentina

BUENOS AIRES; Argentina: Timu ya Taifa ya Argentina imeshindwa kuilinda rekodi yake ya kutopoteza  mchezo tangu kombe la dunia baada…

Soma Zaidi »

Samia akoleza moto Taifa Stars, Kocha akoshwa

MARRAKECH,Morocco: Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Adel Amrouche amesema kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kutoa…

Soma Zaidi »
Back to top button