Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mashindano ya riadha Utu Kwanza yaja

SHIRIKA lisilo la Kiserikali la Utu Kwanza, limeandaa mbio ziitwazo Utu Kwanza Run kwa ajili ya kuchangisha fedha za kuwasaidia…

Soma Zaidi »

Vunja Bei yaibuka ligi iliyomtoa Mzize

KAMPUNI ya Vunja Bei imeahidi kuifanya Ligi Daraja la Nne mjini Iringa, Ngajilo Municipal League kuwa bora na ya ushindani…

Soma Zaidi »

Baleke, Miquissone Onana hatihati leo

SIMBA SC mpaka sasa haijawasilisha vibali vya wachezaji wa kigeni, kwa mujibu wa taarifa ya Shirikisho la Soka (TFF) iliyotolewa…

Soma Zaidi »

Wasanii watakiwa kuchangamkia fursa za mikopo

WASANII, wadau mbalimbali wa sanaa mkoani Mtwara wametakiwa kuchangamkia fursa ya mkopo wa takribani Sh bilioni 20 iliyotolewa na serikali…

Soma Zaidi »

Makudubela, Maxi, Aziz Ki kuivaa Azam

YANGA SC imewasilisha majina ya wachezaji wa kigeni watakaokuwa sehemu ya mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC…

Soma Zaidi »

Kajala: Kweli Harmonize alimsaidia baba

MWIGIZAJI wa filamu nchini, Frida Masanja, ‘Kajala’ amekiri kuwa msanii Rajab Abdul, ‘Harmoneze’ aliwai kumsaidia baba yeke mzazi. Akijibu maswali…

Soma Zaidi »

Wageni Simba, Yanga hatihati kukosa Ngao ya Jamii

KWA mujibu wa Shirikisho la Soka (TFF) Azam FC pekee ndio iliyopeleka wachezaji majina ya wachezaji wa kigeni watakaocheza mechi…

Soma Zaidi »

Nkunku nje miezi mitatu

BREAKING: Mshambuliaji mpya wa Chelsea, Christopher Nkunku atakuwa nje ya uwanja kwa miezi mitatu na nusu kufuatiwa kufanyiwa usapuaji wa…

Soma Zaidi »

Kikeke kusherehesha tamasha la Simba

KUELEKEA Kilele cha Siku ya Simba Agosti 6,2023 katika Uwanja wa Benjamini Mkapa Klabu hiyo imethibitisha kuwa Mshereheshaji namba moja…

Soma Zaidi »

United kumtambulisha Hojlund kesho

BAADA ya kukamilisha taratibu zote, ikiwemo vipimo vya afya na kusaini mkataba, Manchester United imepanga kumtambulisha Rasmus Højlund kuwa mshambuliaji…

Soma Zaidi »
Back to top button