Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mkurugenzi Liverpool kuanza na Mac Allister

LIVERPOOL imekamilisha usajili wa mkurugenzi wa michezo, Jorg Schmadtke na baada ya kusaini mkataba, ameingilia kati usajili wa kiungo, Mac…

Soma Zaidi »

Cancelo kurejea City

Beki João Cancelo atarejea Manchester City kutoka Bayern bila kipengele cha manunuiz cha pauni milioni 70 ( €70m ). City…

Soma Zaidi »

Napoli yatua kwa Enrique

KUFUATIA taarifa ya Luciano Spalletti kuondoka Napoli, timu hiyo imeanza mazungumzo na kocha wa zamani wa Barcelona, Luis Enrique kuchukua…

Soma Zaidi »

Bayern kuifanyia umafia Arsenal

ENDAPO Arsenal itachelewa kuwasilisha ofa yao kwa West Ham, huenda ikala kwao, imeripotiwa Bayern Munchen wameandaa pauni milioni 95 kumnasa…

Soma Zaidi »

Ten Hag: Maguire ataamua mwenyewe

SUALA la beki wa Man United, Harry Maguire kubaki klabuni hao linabaki mikononi mwake na sio tena kwa kocha Eric…

Soma Zaidi »

Spurs: Kane hauzwi

KAMA ulidhani Manchester United itamsajili mshambuliaji wa Spurs, Harry Kane kirahisi, achana na mawazo hayo, Mwenyekiti wa Tottenham Hotspurs, Daniel…

Soma Zaidi »

Manula atimkia Sauzi kwa matibabu

KIPA wa Simba SC, Aishi Manula amepelekwa nchini Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu baada ya kuwa nje kwa muda…

Soma Zaidi »

Zimbwe ajivunia kinyang’anyiro beki bora

MLINZI wa kushoto wa Simba Mohamed Hussein “Tshabalala’ amesema ni fahari kwake kujumuishwa kwenye kivumbi cha kuwania tuzo ya beki…

Soma Zaidi »

Leicester City washuka daraja

BREAKING: Klabu ya Leicester City ya nchini England imeshuka daraja rasmi, licha ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya West…

Soma Zaidi »

Pochettino asaini Chelsea

RASMI Mauricio Pochettino amesaini mkataba wa kuifundisha Chelsea, makubaliano baina ya pande hizo mbili yalifanyika wiki mbili zilizopita. Mwandishi wa…

Soma Zaidi »
Back to top button