Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Tetesi za soka Ulaya

MSHAURI wa soka Paris St-Germain (PSG), Luis Campos amezungumza na wakala wa Jose Mourinho kuhusu uwezekano wa meneja huyo wa…

Soma Zaidi »

Nabi aita mashabiki kwa Mkapa

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasredeen Nabi amewataka mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Benjamini Mkapa kesho kwenye…

Soma Zaidi »

Tuzo yampa mzuka Barres

KOCHA wa Tanzania Prisons, Abdallah Mohamed (Barres) amesema baada ya kushinda tuzo ya Kocha Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara…

Soma Zaidi »

Madrid, City usiku wa kisasi

USIKU wa mabingwa unarejea leo, ambapo kutapigwa mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya…

Soma Zaidi »

Airport yatwaa ng’ombe mashindano ya Polisi Jamii

TIMU ya soka ya Airport kutoka Kata ya Katubuka Manispaa ya Kigoma Ujiji, imefanikiwa kuwa bingwa wa mashindano ya Polisi…

Soma Zaidi »

Rais Samia apewa heshima Ligi Kuu Marekani

MASHABIKI wa soka  takribani 31,620 waliohudhuria mechi ya Ligi Kuu ya Soka ya Marekani na mamilioni zaidi duniani waliokuwa wakitazama…

Soma Zaidi »

Simba fungu la kukosa

MWAKA 2023 umeendelea kuwa mgumu kwa timu ya Simba baada ya jana kuondoshwa kwenye hatua ya nusu fainali ya kombe…

Soma Zaidi »

Mayanga atamba kuirekebisha Mtibwa

KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Salum Mayanga, amesema ametumia mapumziko kufanya marekebisho makubwa na katika mchezo wa leo wa Ligi…

Soma Zaidi »

Singida, Mlandege kitaeleweka

FAINALI ya michuano ya Kombe la Mapinduzi inatarajiwa kuchezwa leo kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar  kati ya Singida Big Stars…

Soma Zaidi »

Timu za Marekani kuitangaza Tanzaia katika utalii, uwekezaji

SERIKALI ya Tanzania imeingia makubaliano klabu ya Seattle Sounders inayocheza Ligi Kuu ya mpira wa miguu ya Major (MLS) Seattle…

Soma Zaidi »
Back to top button