Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Samia kutoa Sh Mil 5 kila goli Simba, Yanga CAF

#BreakingNews: RAIS Samia Suluhu Hassan, ameahidi kutoa Sh milioni 5 kwa kila goli litakalofungwa na timu za Simba na Yanga…

Soma Zaidi »

Tamasha la Pasaka Aprili 9

BAADA kimya cha muda mrefu, tamasha la Pasaka sasa litafanyika Aprili 9,2023 jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Msama Promotion ambao…

Soma Zaidi »

Uwanja mpya Geita kuwekwa nyasi bandia

HALMASHAURI ya mji wa Geita imeweka wazi kuwa inatazamia kufanyia mabadiliko uwanja wake mpya na kuondoa nyasi za asili zilizopandwa,…

Soma Zaidi »

Lebron aweka rekodi NBA

Lebron James ameingia kwenye rekodi ya kuwa mfungaji bora wa NBA kwa kuwa na pointi 38, 390 akimpita Kareem Abdul-Jabbar…

Soma Zaidi »

Yanga kuondoka leo

Yanga SC inaondoka leo mchana kuelekea nchini Dubai ambapo baada ya mapumziko mafupi kesho wataelekea Tunisia kwa ajili ya mchezo…

Soma Zaidi »

Nyota wa zamani Chelsea aokolewa Uturuki

MCHEZAJI wa zamani wa Chelsea, Christian Atsu ni miongoni mwa waliokolewa kwenye vifusi katika Jimbo la Hatay kufuatiwa ajali ya…

Soma Zaidi »

Mhariri TSN ashinda uenyekiti Taswa

MHARIRI wa habari za Kiswahili za kidigiti wa kampuni ya magazeti ya serikali (TSN) Amir Mhando amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa…

Soma Zaidi »

Mhando achaguliwa mwenyekiti mpya TASWA

UCHAGUZI Mkuu wa Chama Cha Wandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA), umefanyika leo na kushuhudia Amir Mhando akichaguliwa kuwa…

Soma Zaidi »

Katavi wapanga kujenga uwanja wa mpira

HALMASHAURI ya Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, katika kuongeza vyanzo vya mapato inakusudia bajeti ijayo kutenga fedha kwa ajili ya…

Soma Zaidi »

Gomez, Pluijm wang’ara Januari

BRUNO Gomez wa timu ya soka ya Singida Big Star,  amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Januari wa Ligi Kuu…

Soma Zaidi »
Back to top button