Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Timu 120 Iringa kuwania Mil15/- Vunjabei Cup

MASHINDANO makubwa ya Vunjabei Cup yanatarajiwa kutimua vumbi Januari 11 mkoani Iringa yakishirikisha timu 120 kutoka kila kona ya mkoa…

Soma Zaidi »

Simba: Tunataka ushindi Angola

DAR ES SALAAM; KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amesema anaenda Angola kutafuta ushindi kwenye mchezo wa raundi ya tano…

Soma Zaidi »

Yanga yaitangazia vita Al Hilal

DAR ES SALAAM; YANGA imeitangazia vita Al Hilal ya Sudan kwenye mchezo wa raundi ya tano wa Ligi ya Mabingwa…

Soma Zaidi »

Nusu fainali ya kwanza Spanish Super Cup leo

MCHEZO wa nusu fainali ya kwanza ya Spanish Super Cup  kati ya Barcelona na Athletic Bilbao inapigwa leo kwenye uwnaja…

Soma Zaidi »

PSG, Barcelona zawania saini ya Jhon Duran

MABINGWA watetezi wa Ligue 1, Paris Saint-Germain inavutiwa kumsajili Jhon Duran wa Aston Villa na inaaminika klabu hiyo ya Ligi…

Soma Zaidi »

Simba hadi raha Tunisia

TUNISIA; BAO lililofungwa na Jean Ahoua limeiwezesha Simba ya Dar es Salaam kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya…

Soma Zaidi »

TP Mazembe yatepeta, Mzize apiga 2

MIAMBA ya soka nchini, klabu ya Yanga leo imeikanda TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo mabao 3-1 katika…

Soma Zaidi »

Hekaheka EPL, Serie A, Ligue 1 leo

IKIWA ni siku ya nne ya mwaka mpya 2025, michezo ya Ligi Kuu England(EPL), Italia(Serie A) na Ufaransa(Ligue 1) inaendelea…

Soma Zaidi »

Serikali yanogesha raha Simba, Yanga CAF

DAR ES SALAAM: WIKIENDI hii miamba ya soka nchini Yanga na Simba itakuwa na kibarua kizito katika michuano inayoandaliwa na…

Soma Zaidi »

Z’bar Heroes vs K’manjro Stars ufunguzi Mapinduzi Cup

MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi inaanza leo kwa mechi ya ufunguzi kati ya wenyeji timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar…

Soma Zaidi »
Back to top button