Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Timu ya Thamani yafanya bonanza kubwa Iringa

IRINGA: Licha ya mvua kubwa kunyesha, wanachama wa Timu Thamani, jumuiya yenye zaidi ya wanachama 800 ambao ni wasikilizaji wa…

Soma Zaidi »

Yanga Geita watoa ‘Azimio’ sakata dabi ya Kariakoo

UMOJA wa Matawi 12 ya wanachama wa Klabu ya Yanga mkoani Geita wameunga mkono uamuzi wa viongozi wao kutocheza mchezo…

Soma Zaidi »

Mkali wa kuzichapa George Foreman afariki dunia

BINGWA wa zamani wa uzito wa juu wa masumbwi duniani na mshindi wa medali ya dhahabu ya michezo ya Olimpiki…

Soma Zaidi »

Mwanamke Mzimbabwe rais mpya IOC

BINGWA wa zamani wa kuogelea kutoka Zimbabwe aliyeshinda medali nyingi zaidi Afrika, Kirsty Coventry amechaguliwa kuwa Rais wa kwanza mwanamke…

Soma Zaidi »

Uchaguzi wazuia viongozi TOC kugombea Afrika

TANZANIA haina hata kiongozi mmoja katika uongozi mpya wa Chama Kikuu cha Olimpiki cha Afrika (ANOCA), ambacho kilifanya uchaguzi wake…

Soma Zaidi »

Taifa Stars yaifuata Morocco kufuzu Kombe la Dunia

TIMU ya Taifa “Taifa Stars” imeondoka kuelekea Morocco kwenye mchezo wa Kundi E wa kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi…

Soma Zaidi »

Chelsea yawawinda Rodrygo, Endrick

TETESI za usajili barani Ulaya zinasema klabu ya Chelsea inataka kumsajili winga Rodrygo Silva de Goes maarufu Rodrygo na mshambuliaji…

Soma Zaidi »

Kombe la Waitara Golf kutimua vumbi Machi 22

SHINDANO la mchezo wa Gofu kumuenzi Mkuu wa Majeshi wa zamani Jenerali mstaafu George Waitara linatarajia kufanyika Machi 22 kwenye…

Soma Zaidi »

Serikali haina neno utata wa dabi Machi 8

PWANI: UTATA unaoendelea kuhusu mchezo wa Simba dhidi ya Yanga ulioahirishwa na Bodi ya Ligi Machi 8 kutokana Simba kuzuiliwa…

Soma Zaidi »

Mechi Simba vs Al-Masry kupigwa kwa Mkapa

PWANI: MECHI ya robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba na Al-Masry huenda ikapigwa uwanja wa Benjamini Mkapa…

Soma Zaidi »
Back to top button