Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Simba, Yanga viwanja tofauti Ligi Kuu leo

MIAMBA ya soka nchini Simba na Yanga leo zinashuka katika viwanja tofauti kusaka pointi 3 muhimu katika mwendelezo wa mechi…

Soma Zaidi »

Ali Kiba atunukiwa tuzo na wanawake Zanzibar

MWIMBAJI wa Bongo Fleva nchini Ali Kiba ‘King Kiba’ ametunukiwa tuzo Bingwa wa Maendeleo ya Mtoto wa Kike kupitia Kongamano…

Soma Zaidi »

Aslay amzungumzia marehemu Pembe

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Aslay Isiaka, ameungana na wadau wa burudani katika kuomboleza kifo cha muigizaji mkongwe, mzee Pembe, aliyeaga…

Soma Zaidi »

Zuchu ahoji ugawaji tuzo za TMA

MSANII wa Bongo Fleva, Zuhura Othuman ‘Zuchu’ ameuliza swali lake kwa waandaaji wa tuzo za Tanzania Music Awards kuwa wanaangalia…

Soma Zaidi »

Mbio Mount Meru kufanyika Novemba 3

MBIO za Mount Meru zilizokuwa mbio za riadha jijini Arusha kwa miaka ya nyuma sasa zimerejea upya na zinatarajiwa kufanyika…

Soma Zaidi »

Tanzania, Iran kushirikiana sekta michezo

SERIKALI kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeingia makubaliano ya kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran…

Soma Zaidi »

Real Madrid yajutia kumsajili Kylian Mbappé

Kwa mujibu wa tetesi za usajili Klabu ya Real Madrid ina majuto makubwa kuhusu kumsajili Kylian Mbappé majira haya ya…

Soma Zaidi »

Mechi ligi 5 bora Ulaya zaendelea leo

MECHI za Ligi Kuu tano bora barani Ulaya zinaendelea leo baada ya kusimama kupisha michezo ya kimataifa nyingine zikiwa zimerejea…

Soma Zaidi »

Mwisho wa tambo mashabiki Simba, Yanga leo

ILE siku, tarehe na mwezi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na wapenda soka nchini umefika. Ni mchezo wa dadi ya Kariakoo…

Soma Zaidi »

Mbio za Kilimanjaro kuiweka Tz kwenye ramani

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana amesema Mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager Marathon ni chachu…

Soma Zaidi »
Back to top button