Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Kwani Eric Ten Hag anatakaje?

ENGLAND: MENEJA wa Manchester United, Erik ten Hag amesema anahisi “sio haki na dhuluma” baada ya mwamuzi, David Coote wa…

Soma Zaidi »

Yanga pekee haijafungwa bao Ligi Kuu

  BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ni klabu pekee haijafungwa bao hadi sasa baada ya leo kushinda…

Soma Zaidi »

KMC yagoma kuswekwa magereza Mbeya

TIMU ya KMC leo imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 ugenini dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu…

Soma Zaidi »

De Bruyne kukipiga Ligi Kuu Marekani

KWA mujibu wa tetesi za usajili kiungo wa Manchester City, Kevin de Bruyne, 33, anaweza kuhamia Ligi Kuu ya Marekani(MLS)…

Soma Zaidi »

Coastal Union kuizuia Yanga Ligi Kuu leo?

MICHEZO mitatu ya Ligi Kuu Tanzania Bara inafanyika viwanja tofauti leo. Bingwa mtetezi Yanga ipo mkoani Arusha ikiwa mgeni wa…

Soma Zaidi »

Real Madrid vs Barcelona: ‘El Clásico’ ya kibabe

MACHO na masikio ya wapenda soka duniani leo yanahamia Hispania ambako kunapigwa kipute kikali cha ‘El Clásico’ Ligi Kuu Hispania-LaLiga…

Soma Zaidi »

Simba, Azam viwanja tofauti nyumbani leo

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa mechi tatu kupigwa Dar es Salaam na Singida. Wekundu wa Msimbazi, Simba itakuwa…

Soma Zaidi »

Eng. Hersi anyakua tuzo Afrika

PARIS : RAIS  wa Timu ya mpira wa miguu,Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika, Eng. Hersi…

Soma Zaidi »

Makachu kutangaza Zanzibar kimataifa

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi amesema  Mchezo wa makachu  umekuwa…

Soma Zaidi »

Antony Joshua kutwangana na Dubois au Fury

BONDIA wa uzito wa juu Anthony Joshua atazichapa na ama Daniel Dubois au Tyson Fury katika pambano lijalo, amesema promota…

Soma Zaidi »
Back to top button