Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Viwanja 16 Ligi ya Europa leo

MICHUANO ya Ligi ya Europa barani Ulaya hatua ya ligi inaendelea leo kwa michezo 16 katika viwanja tofauti. Galatasaray ya…

Soma Zaidi »

Juma Mgunda kocha mpya Namungo

TIMU ya Namungo imemtangaza Juma Mgunda kuwa Kocha Mkuu mpya wa klabu hiyo. Taarifa ya Namungo imesema Aliyekuwa Kocha Mkuu…

Soma Zaidi »

Simone Inzaghi akubali kumrithi Ten Hag

TETESI za usajili barani Ulaya zinasema tayari kocha wa Inter, Simone Inzaghi amekubali kumrithi Erik ten Hag kama  kocha wa…

Soma Zaidi »

JKT Stars, Vijana kuisaka fainali kikapu leo

TIMU za mpira wa kikapu za wanawake, JKT Stars na Vijana Queens zinatarajiwa kucheza mchezo wa pili hatua ya nusu…

Soma Zaidi »

Kikosi Stars kufuzu CHAN hiki hapa

KIKOSI cha timu ya taifa “Taifa Stars” kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika kwa…

Soma Zaidi »

Ni hekaheka Ligi ya Mabingwa Ulaya leo

MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya ligi inarejea leo ikifanyika michezo tisa katika viwanja tofauti. Moja ya mechi…

Soma Zaidi »

Simba, Yanga viwanja tofauti Ligi Kuu leo

MIAMBA ya soka nchini Simba na Yanga leo zinashuka katika viwanja tofauti kusaka pointi 3 muhimu katika mwendelezo wa mechi…

Soma Zaidi »

Ali Kiba atunukiwa tuzo na wanawake Zanzibar

MWIMBAJI wa Bongo Fleva nchini Ali Kiba ‘King Kiba’ ametunukiwa tuzo Bingwa wa Maendeleo ya Mtoto wa Kike kupitia Kongamano…

Soma Zaidi »

Aslay amzungumzia marehemu Pembe

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Aslay Isiaka, ameungana na wadau wa burudani katika kuomboleza kifo cha muigizaji mkongwe, mzee Pembe, aliyeaga…

Soma Zaidi »

Zuchu ahoji ugawaji tuzo za TMA

MSANII wa Bongo Fleva, Zuhura Othuman ‘Zuchu’ ameuliza swali lake kwa waandaaji wa tuzo za Tanzania Music Awards kuwa wanaangalia…

Soma Zaidi »
Back to top button