Sayansi & Teknolojia

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Burundi kuunganishwa na Mkongo wa Taifa

DAR ES SALAAM: SERIKALI imesaini mkataba mpya wa kibiashara kwa ajili ya kuongeza huduma za mkongo wa Taifa wa Mawasiliano…

Soma Zaidi »

Samsung, Tigo waiunga mkono Serikali huduma 5G

KATIKA kuendelea kuiunga mkono Serikali kwenye masuala ya teknolojia, kampuni ya simu Samsung na kampuni ya huduma za mawasiliano Tigo…

Soma Zaidi »

Walimu warahisishiwa ufundishaji Mtwara

MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas amekabidhi vifaa vya TEHAMA vilivyotolewa na mradi wa BOOST ili kuwasaidia walimu…

Soma Zaidi »

Rais Samia kuanzisha chuo masomo kidijitali

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuanzisha chuo maalum kitakachojumuisha vijana kusoma kidijitali ambapo ujenzi wake…

Soma Zaidi »

Intaneti kuboreshwa UDSM

CHUO Kikuu cha Dar es Salaam ( UDSM), kimesaini mkataba wa kihistoria wa marejeo na Kampuni ya Seacom kwa ajili…

Soma Zaidi »

TCRA kudili na matapeli mitandaoni

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kuna haja ya kuwadhibiti wanaotumia mitandao vibaya kwa kufanya matukio ya utapeli kuiba taarifa…

Soma Zaidi »

UDSM, kampuni Uingereza kuandaa jukwaa fursa za masomo

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kushirikiana na Kampuni ya Bright Famous na British counsel limeanda jukwaa la fursa…

Soma Zaidi »

Vijana watakiwa kuchangamkia fursa za teknolojia

WAKATI dunia ikiendelea kufurahia kukua kwa teknolojia ya akili bandia, vijana wametakiwa kuchangamkia fursa hiyo, ambayo inasaidia katika kujiajiri. Akizungumza…

Soma Zaidi »

Teknolojia ni suluhisho la kuboresha ufundishaji, upatikanaji wa elimu nchini

ARUSHA: TUNAISHI katika dunia ambayo kwa kiasi kikubwa imetawaliwa na matumizi ya teknolojia za kidigitali. Athari za teknolojia zinaweza kuonekana…

Soma Zaidi »

Kikwete: Mifumo ya PEPMIS, PIPMIS itaondoa uonevu

IRINGA: NAIBU Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema matumizi ya mifumo…

Soma Zaidi »
Back to top button