Sayansi & Teknolojia

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Naibu Waziri amshukuru Rais Samia ufunguzi MJNUAT

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Butiama, Jumanne Sagini,  ameishukuru serikali ya  a ya Rais…

Soma Zaidi »

IAA, TPF  yasaini kushirikiana

CHUO  cha Uhasibu Arusha (IAA) na Jeshi la Polisi Tanzania (TPF) kupitia shule ya Polisi-Moshi wamezindua rasmi ushirikiano wa kitaaluma.…

Soma Zaidi »

Serikali yashauriwa kutafuta mwekezaji TTCL

SERIKALI imeshauriwa kutafuta mwekezaji mwenza katika Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuiwezesha kuongeza ufanisi na kumudu ushindani wa kibiashara. Wataalamu…

Soma Zaidi »

Kanda ya Ziwa yaunganishwa na dunia kupitia NBC Connect

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua huduma ya NBC Connect kanda ya Ziwa, ikiwa ni awamu ya pili baada…

Soma Zaidi »

Wizara ya Habari yaomba kuidhinisha Sh bilioni 212

WIZARA ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, imeomba kuidhinisha Sh bilioni 212.457. Akizungumza wakati wa uwasilishaji wa bajeti ya…

Soma Zaidi »

Serikali kukusanya Sh Bil 150 Mkongo wa Taifa

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano wa Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema katika Mwaka wa Fedha 2023/24, Wizara inakadiria kukusanya Sh…

Soma Zaidi »

Laini za simu milioni 62.3 zasajiliwa

TAKWIMU zinaonesha laini za simu zilizosajiliwa zimeongezeka kutoka milioni 55.7 mwezi Aprili, 2022 hadi kufikia milioni 62.3 mwezi Aprili, 2023…

Soma Zaidi »

Serikali yaeleza wahitimu mafunzo Israel wanavyotumika kuinua kilimo

Wizara ya Kilimo imeanza kuwatumia vijana waliohitimu mafunzo kwa vitendo nchini Israel kupitia programu ya Building a Better Tomorrow (BBT)…

Soma Zaidi »

Serikali kuimarisha ubora wahitimu uhandisi UDSM

MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Jakaya Kikwete amesema serikali kupitia Wizara ya Elimu kwa kushirikiana…

Soma Zaidi »

Kikwete kubariki maadhimisho UDSM

RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Tanzania ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,(UDSM) Jakaya…

Soma Zaidi »
Back to top button