Bunge

Mbunge: TRA ni wavivu wa kufikiri

DODOMA; Mbunge wa Mbozi, George Mwenisongole, amesema Wizara ya Fedha kupitia Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) ni wavivu wa kufikiri.…

Soma Zaidi »

Wizara ya Fedha yaliomba Bunge Sh tril.18.17

DODOMA; WIZARA ya Fedha imeomba Bunge liidhinishe matumizi ya jumla ya Sh trilioni 18.7 kwa mwaka wa fedha 2024.25. Akiwasilisha…

Soma Zaidi »

Raha za Yanga hadi bungeni

DODOMA; YANGA juzi ilitwaa ubingwa wa michuano ya Kombe la Shirikisho la CRDB pale Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar…

Soma Zaidi »

Idadi watu wenye ulemavu yaongezeka

DODOMA; KIWANGO cha watu wenye ulemavu nchini kimeongezeka hadi asilimia 11.2 mwaka 2022 kutoka asilimia 9.3 ilivyokuwa mwaka 2012, Bunge…

Soma Zaidi »

Wageni 1,223 wazuiwa kuingia nchini

DODOMA;SERIKALI imesema imefanikiwa kuwazuia kuingia nchini kwa sababu mbalimbali jumla ya wageni 1,223 kwa kipindi cha kuanzia Januari 2022 hadi…

Soma Zaidi »

Uzio wa umeme kujengwa Hifadhi ya Serengeti

DODOMA; SERIKALI ina mpango wa kujenga uzio wa umeme wa majaribio katika eneo la Kilometa 68 Hifadhi ya Taifa ya…

Soma Zaidi »

Barabara Km 31 kujengwa Mbagala

DODOMA; Serikali imesema kupitia Mradi wa DMDP zimependekezwa kujengwa kilomita 31.82 kwa kiwango cha lami. Naibu Waziri Ofisi ya Rais…

Soma Zaidi »

Wabunge wapitisha bajeti utalii

DODOMA: WABUNGE leo Jumatatu Juni 3, 2024 wamepitisha bajeti ya Wizara ya  Maliasili na Utalii kwa mwaka 2024/25, yenye vipaumbele…

Soma Zaidi »

Ole Sendeka aibua jambo bungeni

DODOMA; MCHANGO wa Mbunge wa Simanjiro, Christopher ole Sendeka kuhusu kuwepo taarifa ya Kamati Maalum inayofanya tathimini ya mapori tengefu…

Soma Zaidi »

Mbunge ataka Waziri, watumishi wote utalii wafutwe kazi

DODOMA; Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, amesema ni vyema Bunge likaweka rekodi kwa kuwafukuza kazi watumishi wote wa Wizara ya…

Soma Zaidi »
Back to top button