Bunge

Spika ataka utaratibu ajira wanaojitolea kazini

SPIKA wa Bunge Dk. Tulia Ackson ameitaka serikali itafute utaratibu wa mpito wakati ikijipanga kwa ajili ya wafanyakazi wanaojitolea lakini…

Soma Zaidi »

Spika atoa maekezo waathirika matrekta ya Ursus

DODOMA; SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson ametoa maelekezo kwa serikali kuchambua na kubainisha makundi mbalimbali ya wakulima walioathirika kutokana…

Soma Zaidi »

Simba, Yanga zatajwa mabadiliko mawaziri

SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson amewataka mawaziri waliopumzishwa katika Baraza la Mawaziri wasiwe na wasiwasi, kwani hiyo ni hali…

Soma Zaidi »

Bunge lampongeza Naibu Waziri Mkuu

BUNGE la Tanzania limempongeza Naibu Waziri Mkuu, Dk. Dotto Biteko kwa kuteuliwa kushika wadhifa huo. Akitoa pongezi hizo bungeni mjini…

Soma Zaidi »

Shangwe zatawala Naibu Waziri Mkuu bungeni

SHANGWE zimetawala bungeni, wakati Naibu Waziri Mkuu, Dk Dotto Biteko alipokuwa akiingia bungeni leo mjini Dodoma baada ya kuapishwa Ijumaa…

Soma Zaidi »

Mbunge alia na kero ya popo Dar

MBUNGE wa Viti Maalum,William Mgaya amehoji bungeni ni lini serikali itaondoa popo waliopo maeneo ya Upanga, Dar es Salaam ili…

Soma Zaidi »

NMB yafanya kweli Bunge Bonanza

BENKI ya NMB imetoa kiasi cha Sh Mil 130 kudhamini bonanza la michezo la Bunge linalotarajiwa kufanyika kesho Jumamosi Septemba…

Soma Zaidi »

Mikakati yawekwa upatikanaji  dawa

SERIKALI imesema  inaendelea kuboresha upatikanaji wa dawa na vifaa tiba katika hospitali nchini kwa kutekeleza mambo mbalimbali ikiwemo kuipatia mtaji…

Soma Zaidi »

Mikakati yawekwa mafuta ya kula

SERIKALI imesema kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeendelea kutekeleza mkakati wa kuendeleza sekta ndogo ya alizeti na chikichi ambayo ndiyo…

Soma Zaidi »

Kiwango cha chini pensheni Sh 100,000

WASTAAFU wote wa Serikali wameboreshewa pensheni zao za kila mwezi, ambapo kiwango cha chini kwa sasa ni Sh 100,000, Bunge…

Soma Zaidi »
Back to top button