Bunge

‘Hakuna upendeleo maalum kwa walimu wa kujitolea’

SERIKALI imesema kuwa ajira 13,390 za walimu zilizotangazwa hivi karibuni zitaenda kwa waliokidhi vigezo na sifa stahiki kwa walioomba na…

Soma Zaidi »

Serikali yaahidi kuboresha maslahi ya skauti

SERIKALI imeahidi kuboresha maslahi ya skauti nchini kutokana na mchango wao mkubwa katika jamii. Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu,…

Soma Zaidi »

Mbunge akataa ‘English Medium’ za Serikali

TASKA Restituta Mbogo, Mbunge wa Viti Maalum ameshauri Lugha ya Kiingereza ifundishwe kuanzia darasa la kwanza katika shule zote za…

Soma Zaidi »

Mtaala mpya wa elimu kuibua vipaji

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema kuwa mapitio ya mitaala ambayo yataongeza masomo na kozi mbalimbali zilizojikita kutoa zaidi…

Soma Zaidi »

Serikali yatoa tamko ukomo matumizi vitambulisho NIDA

SERIKALI imetoa wito kwa watoa huduma kuendelea kuwatambua kuwatambua wateja wanaotumia vitambulisho vya taifa (NIDA) vyenye tarehe za ukomo hadi…

Soma Zaidi »

Uwekezaji mifuko hifadhi ya jamii wafikia tril 14/-

THAMANI ya uwekezaji wa mifuko ya Jamii ilikuwa imefikia jumla ya Shilingi trilioni 14.04, Bunge limefahamishwa leo asubuhi. Akichanganua kiasi…

Soma Zaidi »

Baa, klabu ‘zilizopigwa kofuli’ kufunguliwa ikiwa…

SERIKALI imeanza kuzifungulia baa na kumbi za starehe ambazo zimekidhi matakwa ya Sheria ya Usimamizi wa Mazingira ya Mwaka 2004…

Soma Zaidi »

Mbunge ‘ang’aka’ kufungwa baa, sehemu za starehe 

Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku ‘Musukuma’ ameomba mwongozo wa Spika juu  kufungwa kwa kumbi na sehemu za starehe kwa…

Soma Zaidi »

Mwongozo kuwalipa walimu posho saa za ziada waandaliwa

NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais-Tamisemi, Deogratias Ndejembi amesema serikali haina posho ya mazingira magumu kwa walimu lakini iko katika maandalizi…

Soma Zaidi »

Majengo ya mahakama kuendelea kujengwa

SERIKALI imebainisha azma na dhamira ya kusogeza huduma za haki karibu na wananchi kwa kujenga na kukarabati majengo ya mahakama.…

Soma Zaidi »
Back to top button