Bunge

Marufuku vimemo ajira mpya 21,000

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki amesema ajira 21,000 za kada…

Soma Zaidi »

Somo la Maadili kuingizwa katika mitaala

WIZARA ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imependekeza kuingizwa kwa somo la maadili katika mitaala ya shule za Msingi na Sekondari.…

Soma Zaidi »

Serikali, wakulima wa vanilla waweka mkakati

SERIKALI imekutana na wakulima wa zao la vanila mkoani Dodoma, ambapo wameweka mkakati wa pamoja wa kuinua zao hilo. Naibu…

Soma Zaidi »

Serikali yakamilisha muswada umri wa ndoa

SERIKALI imekamilisha maandalizi ya kuandika mswada wa Sheria ya Ndoa ambayo itatoa umri wa mwanamke kuolewa, Waziri wa Katiba na…

Soma Zaidi »

Serikali yataka TRA kuheshimu sheria

NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Hamad Hassan Chande, ameitaka Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kuheshimu sheria ya kodi na…

Soma Zaidi »

Waziri Ummy: Madaktari bingwa kutawanywa upya

WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu amesema Serikali inakusudia kuwatawanya upya (re-distribute), madaktari bingwa ili kukabili uhaba wa wataalamu hao kote…

Soma Zaidi »

Wabunge wataka usimamizi asilimia 10 ya halmashauri

WABUNGE wameishauri serikali iweke utaratibu mzuri inapopitisha benki fedha za mikopo kwa wanawake, vijana na wenye ulemavu. Walisema hayo bungeni…

Soma Zaidi »

 Serikali yafungia mitandao inayojihusisha na ushoga

MAMLAKA nchini Tanzania katika kujaribu kulinda maadili na utamaduni wa Mtanzania, imeanza kuchukua hatua kali ikiwa ni pamoja na kufungia…

Soma Zaidi »

Wabunge wataka waajiriwa wapya wabanwe wasihame

WABUNGE wameipa angalizo Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) juu ya mgawanyo wa watumishi wapya…

Soma Zaidi »

Wabunge wataka fedha za mikopo ya ardhi zirejeshwe

WABUNGE wamehoji utekelezaji wa Mradi wa Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK) na kuitaka serikali isimamie na kuratibu urejeshwaji wa mikopo…

Soma Zaidi »
Back to top button