Chaguzi

 Nanyamba wafurika upigaji kura

WANANCHI wa Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara wamejitokeza kupiga kura kwa ajili ya kuwachagua viongozi mbalimbali wa serikali za…

Soma Zaidi »

Byabato apiga kura, asisitiza nyumba kwa nyumba

MBUNGE wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato amepiga kura kuwachagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika kituo cha…

Soma Zaidi »

RC Kagera asisitiza utulivu upigaji kura

MKUU wa Mkoa Kagera, Hajjat Mwassa amewataka wakazi wa mkoa kuwa watulivu, kuzingatia taratibu uchaguzi na kurejea nyumbani badaa ya…

Soma Zaidi »

Makalla: Rais Samia kuongoza zoezi la kupiga kura

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha mapinduzi(CCM) Taifa, Itikadi , Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema Rais Samia…

Soma Zaidi »

Dk Tulia: Chagueni viongozi wenye uwezo

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Tanzania…

Soma Zaidi »

Dk Nchimbi: Msikubali kufarakanishwa

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amewataka watanzania wasimame kidete kukataa kufarakanishwa na maneno…

Soma Zaidi »

Kapinga: Kesho mjitokeze kupiga kura

Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewaasa wananchi kujitokeza kwa…

Soma Zaidi »

Viongozi vyama vya siasa wasisitiza amani

WAGOMBEA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) katika vitongoji na vijiji vya Kata ya Mikese , Wilaya ya…

Soma Zaidi »

CCM Iringa yajizatiti ushindi maeneo yasiyo na upinzani

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimehitimisha kampeni zake kwa kishindo katika mtaa wa Wambi, Mafinga mjini, kikiwataka wanachama…

Soma Zaidi »

“Wananchi wachague viongozi wa CCM”

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM ) John Mongella amewataka wananchi wachague viongozi wanaotokana na chama hicho ili…

Soma Zaidi »
Back to top button