Chaguzi

 Kampeni zimeipa CCM ushindi – Nsokolo

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Kigoma kimesema kuwa kampeni na mwenendo wa uchaguzi uliofanywa na chama hicho kupitia viongozi wake…

Soma Zaidi »

Wananchi Morogoro wahimizwa kushiriki uchaguzi mitaa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Morogoro imewaomba wananchi waliojiandikisha kushiriki kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa kujitokeza…

Soma Zaidi »

Wasimamizi uchaguzi mitaa waapishwa Mikindani

WASIMAMIZI na wasimamizi wasaidizi 250 wa vituo mbalimbali vya kupigia kura wameapishwa katika Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara kuelekea…

Soma Zaidi »

Wanavyuo watakiwa kujitokeza uchaguzi mitaa

KUELEKEA uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27,2024, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara, Abdallah Mwaipaya amewataka…

Soma Zaidi »

Wenye ulemavu watakiwa kupiga kura

MBUNGE wa Viti Maalum anayewakilisha watu wenye ulemavu Tanzania, Stella Ikupa amewataka watu wenye ulemavu kujitokeza kupiga kura katika uchaguzi…

Soma Zaidi »

Dk Biteko: Bukombe wanataka maendeleo

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Bukombe, Dk Doto Biteko amesema kuwa kwa miaka…

Soma Zaidi »

CCM yajipanga uchaguzi mitaa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuw hakitatumia nguvu kubwa kuwanadi wagombea wake wa nafasi ya uenyekiti wa vitongo na vijiji…

Soma Zaidi »

Waziri Silaa aja na mikakati kuinua sekta ya habari

DAR ES SALAAM: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ameweka wazi mikakati yake ya kuboresha sekta…

Soma Zaidi »

CCM: Wagombea uchaguzi mitaa msibweteke

DAR ES SALAAM: CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimewataka wagombea wateuliwa katika nafasi ya wenyeviti uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika…

Soma Zaidi »

Kasulu yatumia 4R uandikishaji uchaguzi mitaa

HALMASHAURI ya Wilaya ya Kasulu imesema kuwa 4R za Rais Samia ni miongoni mambo manne yaliyoifanya halmashauri hiyo kufanya vizuri…

Soma Zaidi »
Back to top button