Chaguzi

Serikali: Tutazingatia maoni kanuni za uchaguzi

DODOMA – Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Zainab Katimba amesema maoni ya vyama vya siasa ni muhimu hivyo yatazingatiwa…

Soma Zaidi »

Wadau wa uchaguzi waikingia kifua TAMISEMI

DODOMA – WADAU wa uchaguzi wamesisitiza kuwa hatua ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI kuandaa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa…

Soma Zaidi »

INEC haina mamlaka usimamizi uchaguzi mitaa

DAR ES SALAAM – TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema haiwezi kusimamia na kuratibu Uchaguzi wa Serikali za…

Soma Zaidi »

Vikundi 589 bodaboda vyapatiwa mikopo

VIKUNDI 589 vya bodaboda vilipatiwa mikopo katika mwaka wa fedha 2022/23, Bunge limeelezwa. Naibu Waziri Ofisi ya Rais (Tamisemi), Festo…

Soma Zaidi »

NEC yashauriwa kusajili wapiga kura Kidijitali

DAR ES SALAAM: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeshauriwa mambo manne ikiwemo kutumia mfumo wa kidijitali kusajili wapiga kura…

Soma Zaidi »

CCM yashinda kata zote sita Udiwani

MBEYA,Mbarali: Chama cha Mapinduzi (CCM), licha ya kushinda Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Mbarali kwa mgombea wake Bahati Ndingo…

Soma Zaidi »

Wasimamizi wa uchaguzi wafundwa

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewataka wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo na kata kufanyakazi kwa weledi kwa kuzingatia…

Soma Zaidi »

NEC kusaidia wenye mahitaji maalumu

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewajengea uwezo baadhi ya watumishi wake ili kuwahudumia watu wenye mahitaji maalumu hususani viziwi.…

Soma Zaidi »

Walioanza kujipitisha ubunge, udiwani waonywa

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Geita, Nicolous Kasendamila, amekemea wanachama kuanza kampeni za kunyemelea nafasi za udiwani na…

Soma Zaidi »

CCM ‘ni Dk Samia’

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa 10 wa CCM wamemchugua Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa kura 1,914 kati ya 1915,…

Soma Zaidi »
Back to top button